Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,581
- 2,677
Moderator futeni nyuzi za huyu mtu. Wanawake (including wa kibongo/JF) wanadeserve respect. Kila siku huyu mtu aliyestruggle kupata affection kutoka kwa mzazi wa kike anapost ujinga wa kidhalilisha Wanawake wa kibongo na nyie mko kimya. Kazi yenu ni nini kama sio ku 'moderate' hili jukwaa?!
Mtu ana extreme views kuhusu kitu afutiwe nyuzi zake ajifunze ku socialise na wengine......kuweni REAL nyie moderators mnadhani Wanawake wa JF wamependezwa na hii topic??! Kwa nini disgusting views zinazochoma macho zinaachiwa freely??
Wengine tumekuja kuburudika kusoma yanayoendelea sio kuona udhalilishsji wa kiwango cha kupitiliza, its sad because huyu mtu anapewa audience hii ina act kama reward inayo reinforce behaviour.
Hamumsaidii huyu mtu kwa kumpa airtime, atakuja tena na tena kudhalilisha Wanawake wa kibongo sababu ana deeper issues na wanawake na nyie mnampa jukwaa afanye udhalilishaji. Inatakiwa mfute nyuzi zake ajue kuwa kuna consequences for a bad behaviour ili ajifunze. Huwezi kuwa in public ukajamba just because you have right to do so....
Mwisho Wanawake wa kibongo hawana mvuto in COMPARISON na wanawake wa nchi gani? Uje na congrete DATA jinsi walivyo tofauti na pia how you STUDY THEM mpaka uka derive into such CONCLUSIONS??