Hivi ni kwanini wanawake wa kibongo hukosa mvuto mapema?

Hivi ni kwanini wanawake wa kibongo hukosa mvuto mapema?

Nadhani kila mtu anamahitaji yake
Kila mtu ana Aina ya Mwanamke anaemtaka so kabla hujafanya maamuzi chunguza aina ya Mwanamke je ni sahihi kwako
Unajua je na kwanini nianze kutafuta wakati tunajua tayari jamii ina uozo wa maadili hata kama nikimpata naye dhani yuko sahihi anaweza kuwa a nani danganya na kuja kubadili maamuzi baada ya kuingia ndoani
 
Hao watu wakichepuka hua wanachepuka na wanawake wa wapi? Si wanaenda kuchepuka na hao hao wanawake wa kibongo unao wasema wewe hapa?

Hata huyo Mwanamke wako wewe ukimuona hana mvuto,basi wapo watakao muona ana mvuto huko nje na watamtongozwa,

Kijana jifundishe kuijua saikolojia ya binadamu,
Binadamu hutamani kitu ambacho hana ila akisha kipata hukiona ni cha kawaida tu,na sio kwa wanawake tu,bali hata Magari,majumba au hela,ukisha zipata unaona ni kitu cha kawaida tu,

Trump ni tajiri ila akatamani kua kiongozi na akagombea urais wa US,ndio maana nakwambia kua binadamu hutamani kitu ambacho hana,

Ukienda Hotelini ukaagiza chakula kisha meza ya pili ya jirani yako,nae akiletewa chakula alicho agiza,utaona kama yeye kaagiza chakula kizuri zaidi yako,huyo ndio binadamu,hata uwe na Mwanamke mzuri wa aina gani,baada ya muda utamuona ni wa kawaida tu,

Hapo issue sio mwanamke wa kibongo bali ndio binadamu alivyo,

Hata wanawake nao hua wanachepuka pia,so hapo utasema wanaume pia wanaume wa kibongo nao hawana mvuto?
Umemaliza kila kitu

Uzi ufungwe
 
Umeongea am ukweli ila hiyo ni kwa un enlightened beings.. Maana kwa binadamu mwenye self control hawezi kuendeshwa na mihemko wala tamaa

Egoic ways ndo zinfanya binadamu kuwa kama mnyama. Na ndio maana sisi wamatumbi hatudumu kwenye ndoa kwasababu wengi bado hatua master miili na akili zetu
 
Nakushauri oa mwanamke mwenye at least Master degree; someone who can think outside the box, ndio wenye qualities hizo unazotaka. Upeo wao huwa kidogo tofauti. Ila shida nyingine; waliosoma sana kwa huku kwetu ni kama wanaona hakuna umuhimu wa kuwa na mwanaume (wengi ni single mothers) So you will have to weigh the opportunity cost and make decision accordingly.
 
Utateseka sana na vitu ambavyo haina haja ya kuviumizia kichwa bwashee 🤣
Kidume lazima uwe protective bwana tuacheni haya mambo, wakimuweka mkeo unaumia. Hata simba dume anaweka mipaka kwa majike yake, huwezi kukubali tu mke anachapwa na kila mtu!!
 
Sio kwa nia mbaya,

Yaani mwanamke wa kibongo(average one) anacho offer mara nyingi ni ngono tu.. Kinacho weka mahusiano sio ngonopekee bali ni mutual love and responsibilities.

Si semi kubeza watu ama kuanzisha makundi ya ku bully watu,

Ila naongelea uhalisia uliopo nje na tumeweza ku experience tulio wengi.

Ni kwanini wanawake wa kibongo wanakinai mapema, yaani sijui niseme je ili mnielewe.

Unaweza kuleta pisi ndani ukaioa ila ukashangaa umeshaichoka na kutaka ukachaoe nyingine

Hawana kabisa craetivtiy kusema kwamba leo nimfanyie surprise baba fulani, kila siku yeye ndo umfanyie surprise.

Ndo maana watu Wanachepuka kila kukicha. Mimi naona utamaduni wa kiafrica umefanya mwanamke awe gugu maji, yaani awe mtu wa kupeleka na upepo tu na asiweze kuwa na maamuzi yake katika ndoa.. Wanawake wapo wapo tu.. Sisemi kuwabeza wala kuwaongelea vibaya.

Ni mtazamo wangu tu ndugu zangu, au mnasemaje?

Wanawake wanachokwa mapema kwasababu wanawake wengi hawana vya kwao, wanataka hata kama ana kazi awe yeye tu ndo wa kupewa kila kitu, na bado kitandani ajilaze kama gogo.

Ndo maana watu Wanachepuka, maana mtu mwishowe anachoka.
Mkuu umemaliza kila kitu. Wanawake wa kibongo hawana jipya; wanagawa utamu tu. Hawana kitu kingine cha ziada. Na utamu wenyewe kila siku kifo cha mende. Hawana ubunifu hata kidogo. Wanakera sana hawa viumbe. Mungu anawaona.
 
Sema kweli? 😹

Sasa akibane bane cha nini kitaliwa na nyenyere..!!

Umepewa mbususu acha ipige kazi, kaburini hakuna tuzo ya kei iliyobana..!! 😹😹😹
Inabidi unapoolewa umwambie anayekuoa hivyo Ili asije aka-over-react kutokana na yatokanayo na kukitembeza,mfano ukapewa ujauzito nje halafu ukaja ukambambikia,akipima DNA au akagundua kwa namna yoyote ile,chuma kisije kikahusika.Ni wanaume wachache sana wanaotaka waoe halafu wake zao wawe wanakitembeza.
Bora mtu uwe single mother tu,ili wale wanaotaka kuoa wanakuja wanajifunza kufanya mapenzi,halafu wanaoa wanawake wengine,halafu unatakiwa ukiwa mtembezaji,usiwe unabadili namba mara kwa mara,ili wateja wakizinguana na ndoa zao,wanakuja unawatuliza.
 
Unajua je na kwanini nianze kutafuta wakati tunajua tayari jamii ina uozo wa maadili hata kama nikimpata naye dhani yuko sahihi anaweza kuwa a nani danganya na kuja kubadili maamuzi baada ya kuingia ndoani
Kitendo Tu cha kudanganywa na Mwanamke na ukadanganyika basi hufai kabisa kuwa mume
 
Back
Top Bottom