Genye mkuuWhat do you mean my dear!!?
Wapi huko😳No...we huoni unaamshaamsha balaa
DuuhhGenye mkuu
Thread iishie hapa. Simple n clearNi matamu kwasababu huishi nae
Huu Uzi umejaa manjegeka
What do you mean my dear!!?
Genye mkuu
Duuhh
😂😂mi sijui pia mkuuKumbe manjegeka ni genye na mnakaa kimya!
Posted,
Hakuna maneno meengii..
Yani ni kwanini sauti ya mchepuko ni tamu, inabembeleza, inajali and so many others.
Guyz! Why?
Haha😃😂😂una viashiria vya genye kibao😜
Acha izo😃😂😂mi sijui pia mkuu
Tatizo lako unabadilika badilika kila siku hadi nakuogopa😃sema mdogowangu unapenda kujitilia makomeo😁sijui kwanini?
Basi sawa 👊👊usiniuogope.chukua mazuriyangu mabaya achana nayo
ukipata muda nifungulie maramoja😁