Hivi ni kweli au Stori za kijiweni , chakula cha jela wanaweka mafuta ya taa

Mafuta ya taa ni sumu ,naona ni maneno tu
 
Ni kweli, ila sio kila siku, inaweza kuwa mara 1 kwa miezi miwili au mitatu, maana Kerosene ni Sumu.
 
Wakati tukiwa shule za bweni, wanaume watupu, tulikuwa tukiwekewa, kwa hiyo hata huko inawezekana.
 
Halafu sasa hakuna hata uhusiano wa mafuta ya taa na kukata nyege!!

Ni mwehu mmoja tu aliamua kuja na hiyo porojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…