Unacheza na mila wewe AD. Mimi nashauri watu wafanye uchunguzi wa kina kabla ya kuoa au kuolewa. Kuna jamaa (namfahamu) alioa. Huwezi amini ndoa ilivunjikia honeymoon. Yani wife alimwacha mumewe hotel akarudi kwao mpaka kesho (its more than two years now) Mpaka leo hamna anayejua what happened kwani they were lovers before deciding to marry. Isije ikawa dada kapewa masharti na familia ambayo ameona hawezi kuyafuata. Yani imekuwa ni siri sirini na aibu kwa familia zote mbili. Hakuna anaye explain, na kijana ni bonge la handsome.