hivi ni kweli baba huwakatia utepe wanae?

Dahhhh NKHizi mila ni za kutungwa sasa..Au zilikuwepo tangia...Hizi ndoa nazo zina balaa yake..Sasa hao wameachana kweye honeymooninamaana hiyo ndoa haina muda kabisa..Na haya mambo ya kulala na wakwe ni mila Kweli? ?
 
Dahhhhh
Sasa anapima nini tu ...???
kama kuna kijana atakubali baba yake
Afanye hivyo basi hiyo familiar wana
Matatizo ya akili.

Na kama kuna msichana atakaye kubali hili
Naye atakiwa mwenda wazimu...

punguza kidogo munkari,mrembo!hebu vuta pumzi ndefu..........haya,endelea!!
 
Ipo kwenye makabila mengi tu hiyo!
 
Yaweza kuonekana kama ni ukichaa lakini kama mila hiyo ipo (na inaweza kuwepo) ilikuwa na maana yake. Kwa mwenzetu aliesema kuwa mila ya aina hiyo haipo kwa kuwa Hajawahi KUISIKIA anasahau desturi za makabila yetu. Ni watu wanaostahili tu ndio hupewa habari au hadhi fulani. Kwa hiyo mila yaweza kuwepo na mtu usiehusika usijue. Kwa mfano, kwa watu toka mkoa wa Mara kuvuta bangi ni kwa watu wanaoheshimika katika kamikaze, kwa hiyo ukiaambiwa mzee fulani anavuta bangi basi hapo ndio kwa kufuata ushauri.Nikirudi kwenye kukata utepe kuna makabila ambayo binti hawezi kuolewa kama hajawahi kumjua mwanaume kabla. Papua New Guinea kuna watu ambao ajira yao ni kutoa bikira ya wasichana -na wanalipwa- kuwaandaa kuolewa.
 
Duh! Mila nyin4ne hovyo mi nisingekubbli hayo mambo ya kuonjeana teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…