James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
MaajabuNi tool nzuri ya kuwathibiti waislamu wasifurukute na hivyo kuupa nafasi mfumo Kristo usimike mizizi kisawasawa nchini. Ndiyo maana unaona waislamu wako underrepresented kwenye ajira/utumishi wa umma na teuzi katika kila idara ya serikali wakati population yao nchini ni kubwa sana.
Ili kuithibiti BAKWATA "System" husapoti Masheikh wenye makandokando binafsi maana ni rahisi kuwacontrol. Masheikh makini na wenye vision kamwe hawaprwi nafasi BAKWATA.
Kiufupi BAKWATA ni Chombo cha System ndiyo maana Sheikh Mkuu yupo kwenye payroll ya serikali na anapewa marupurupu mbalimbali utadhani ni mtumishi wa serikali kumbe la!, Sasa swali kwako kwa nini kiongozi wa dini alipwe na serikali inayosema haina dini?
Ni tool nzuri ya kuwathibiti waislamu wasifurukute na hivyo kuupa nafasi mfumo Kristo usimike mizizi kisawasawa nchini. Ndiyo maana unaona waislamu wako underrepresented kwenye ajira/utumishi wa umma na teuzi katika kila idara ya serikali wakati population yao nchini ni kubwa sana.
Ili kuithibiti BAKWATA "System" husapoti Masheikh wenye makandokando binafsi maana ni rahisi kuwacontrol. Masheikh makini na wenye vision kamwe hawaprwi nafasi BAKWATA.
Kiufupi BAKWATA ni Chombo cha System ndiyo maana Sheikh Mkuu yupo kwenye payroll ya serikali na anapewa marupurupu mbalimbali utadhani ni mtumishi wa serikali kumbe la!, Sasa swali kwako kwa nini kiongozi wa dini alipwe na serikali inayosema haina dini?
Mimi ni muislamu pureBAKWATA ni chombo cha CCM? Hili ni swali ninalojiuliza siku nyingi sana, nafikiri wengi wenu pia mnatafuta jibu. Mimi binafsi nikijaribu kuchunguza naona kama uhusiano wa serikali ya CCM na BAKWATA ni wa karibu kupita kiasi. Nakiri kwamba serikali ina uhusiano na taasisi za kidini lakini hii imezidi.
Hivi karibuni nimesikia sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam eti akikemea viongozi wa dini kuingilia siasa kisa eti inasemekana askofu Bagonza alimsifia Tundu Lissu.
Naomba rais ajaye aruhusu serikali izitambue taasisi nyingine za kiislam ili waislam wawe huru kuchagua ni chombo gani cha kuwawakilisha kama wakristo.
Imejitenga kama wakizungumza ubaya wa CCM lakini BAKWATA wanavyo pigia debe CCM sio siasa na dini?Mkiingia huko mtakua mnagusa papaya siasa iwe siasa na dini ibaki pembeni kama ilivyo tengwa ktk taifa hili.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Sheikh Mkuu yuko kwenye payroll ya serikaliBAKWATA ni chombo cha CCM? Hili ni swali ninalojiuliza siku nyingi sana, nafikiri wengi wenu pia mnatafuta jibu. Mimi binafsi nikijaribu kuchunguza naona kama uhusiano wa serikali ya CCM na BAKWATA ni wa karibu kupita kiasi. Nakiri kwamba serikali ina uhusiano na taasisi za kidini lakini hii imezidi.
Hivi karibuni nimesikia sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam eti akikemea viongozi wa dini kuingilia siasa kisa eti inasemekana askofu Bagonza alimsifia Tundu Lissu.
Naomba rais ajaye aruhusu serikali izitambue taasisi nyingine za kiislam ili waislam wawe huru kuchagua ni chombo gani cha kuwawakilisha kama wakristo.
Soma:BAKWATA ni chombo cha CCM? Hili ni swali ninalojiuliza siku nyingi sana, nafikiri wengi wenu pia mnatafuta jibu. Mimi binafsi nikijaribu kuchunguza naona kama uhusiano wa serikali ya CCM na BAKWATA ni wa karibu kupita kiasi. Nakiri kwamba serikali ina uhusiano na taasisi za kidini lakini hii imezidi.