Hivi ni kweli BAKWATA ni chombo cha CCM?

Hivi ni kweli BAKWATA ni chombo cha CCM?

Naelewa kuwa Waislamu wana madhehebu kibao. Je wote hawa wanafuata Bakwata?

Lazima wawe chini ya bakwata,bakwata ni chombo maalumu cha kuwa control waislamu,vinginevyo wale extrimities wangechinjana na kujilipua hovyo.
 
BAKWATA ni chombo cha CCM? Hili ni swali ninalojiuliza siku nyingi sana, nafikiri wengi wenu pia mnatafuta jibu. Mimi binafsi nikijaribu kuchunguza naona kama uhusiano wa serikali ya CCM na BAKWATA ni wa karibu kupita kiasi. Nakiri kwamba serikali ina uhusiano na taasisi za kidini lakini hii imezidi.

Hivi karibuni nimesikia sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam eti akikemea viongozi wa dini kuingilia siasa kisa eti inasemekana askofu Bagonza alimsifia Tundu Lissu.

Naomba rais ajaye aruhusu serikali izitambue taasisi nyingine za kiislam ili waislam wawe huru kuchagua ni chombo gani cha kuwawakilisha kama wakristo.
Hao waislam wenyewe hawaipendi kwa sababu ni chombo cha chama kikubwa nchini
 
Back
Top Bottom