Hivi ni kweli Bidhaa za Kichina ni feki, mbovu kiasi Hicho?

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Posts
1,281
Reaction score
1,251
Wakuu, kila dakika utasikia bidhaa za Kichina feki Mara mbovu.hivi ni kweli Wachina uwezo wao ni mdogo kiasi hicho? Mbona wana uwezo mkubwa kiuchumi, kiteknolojia na kiuulinzi?
 
Wakuu, kila dakika utasikia bidhaa za Kichina feki Mara mbovu.hivi ni kweli Wachina uwezo wao ni mdogo kiasi hicho? Mbona wana uwezo mkubwa kiuchumi, kiteknolojia na kiuulinzi?
Ni fake pale wanapoiga bidhaa za kampuni fulani wakitumia alama au nembo au jina la kampuni hiyo(forgery).. zile zenye majina yao zina ubora mdogo(low quality),kwa hizi wanazotuletea huku nchi za kimaskini..LDC's.. ila wanazopeleka nchi zilizoendelea nyingi ni high quality..
 
mchina anakupa chochote cha hela yako, kwaio hela ndio itaamua
 
WANA GRADE ZAO... 1 2 3 4 NA KUENDELEA

VITU VIZURI GHARAMA MKUU

WANA VITU QUALITY KABISA, WEWE BEI YAKO NDIO ITADETERMINE UPEWE QUALITY IPI
 
pesa itaongea unataka kwa quality gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…