MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,281
- 1,251
Wakuu, kila dakika utasikia bidhaa za Kichina feki Mara mbovu.hivi ni kweli Wachina uwezo wao ni mdogo kiasi hicho? Mbona wana uwezo mkubwa kiuchumi, kiteknolojia na kiuulinzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni fake pale wanapoiga bidhaa za kampuni fulani wakitumia alama au nembo au jina la kampuni hiyo(forgery).. zile zenye majina yao zina ubora mdogo(low quality),kwa hizi wanazotuletea huku nchi za kimaskini..LDC's.. ila wanazopeleka nchi zilizoendelea nyingi ni high quality..Wakuu, kila dakika utasikia bidhaa za Kichina feki Mara mbovu.hivi ni kweli Wachina uwezo wao ni mdogo kiasi hicho? Mbona wana uwezo mkubwa kiuchumi, kiteknolojia na kiuulinzi?