Hivi ni kweli binadamu hufa siku aliyozaliwa?

mahindi hayaoti mjini

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
2,120
Reaction score
2,709
Nimesikia huko wakijadili eti binadamu awaye yeyote hufa siku ile ile aliyozaliwa,

Yaani kama ulizaliwa jumamosi basi utakufa jumamosi, hata kama utakufa na miaka 89 lakini siku itakuwa ni ile ile, ila wanadai tarehe zinaweza kupishana,

Je ni kweli? Kuna ukweli hapa, kuna alie na mifano?

Nawasilisha
 
Hakuna mwenye hakika na hilo!
Ki bongo bongo itachukua muda mrefu sana kudhitisha hilo maana kwetu kifo sio kitu cha kuzungumza,ni kama uchuro.
 
Nimesikia huko wakijadili eti binadamu awaye yeyote hufa siku ile ile aliyozaliwa,

Yaani kama ulizaliwa jumamosi basi utakufa jumamosi, hata kama utakufa na miaka 89 lakini siku itakuwa ni ile ile, ila wanadai tarehe zinaweza kupishana,
Je ni kweli? Kuna ukweli hapa, kuna alie na mifano?

Nawasilisha
Ngoja nifanye utafiti
 
Back
Top Bottom