Hivi ni kweli Clinton alimlala Monica?

Hivi ni kweli Clinton alimlala Monica?

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Ni nani aliethibitisha wakati huo maana nasikiasikia tu mzee alikazia mezani...who has the details na video clip je?
f5beeaf579c4b9_5beeaf579c4fb-770x510.jpeg
 
Nikweli jamaa alimla na alitoka hadharani kuomba msamaha kwa mkewe na mtoto wake pamoja na wananchi wa Marekani.
Na mpaka leo hakuna anae mnyooshea kidole juu ya Monica.

Nadhani hata Gwajima angeomba msamaha najua baada ya muda yangepita na watu wakasahau. Ila kwa majibu ya juzi nadhani hata kutubu huyu mtu sidhani kama atakumbuka.
 
Ila wabongo ukiwaomba msamaha ndio wanakugeuza kinyago cha mpapule kule Instagram nadhani jamaa ndio sababu kaona isiwe shida
 
Eti video clip 😂😂😂. Kwani nani aliekwambia walijirekodi? Unataka uone mzee wa watu anavyochuma mboga ofisini?
 
Nikweli jamaa alimla na alitoka hadharani kuomba msamaha kwa mkewe na mtoto wake pamoja na wananchi wa Marekani.
Na mpaka leo hakuna anae mnyooshea kidole juu ya Monica.

Nadhani hata Gwajima angeomba msamaha najua baada ya muda yangepita na watu wakasahau. Ila kwa majibu ya juzi nadhani hata kutubu huyu mtu sidhani kama atakumbuka.
Clinton hakumlala Monica!. Alimuingiza tu Cigara na Monica akamchezea tu Bamia yake hadi akavunja yai kwenye Nguo ya Monica. Monica akachukua ile Nguo akaiweka ndo akaenda kumsimulia Mama Fulani walichofanya. Maza huyo akamwambia hiyo Nguo asiifue ndio akaenda mshatiki Clinton.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ila tambua hii Ni Jamii.
wale watu wa mtaani kwako,ndugu,majirani, etc
nao wapo Humu.
Jamii Ina kila Aina ya watu,
SI vyema kuwa na chuki/hasira/kisasi na mtu,haya ni maisha.

hahaha utajisikiaje utakapojua/kugundua Genta ndiyo Yule mpenzi wako anayekunyimaga usingizi?

au itakuwaje utakapogunda Genta ni ndugu yako Yule unayempenda SANAA ambaye Ni toka Ni toke.

nikupe kisa kidogo.
Kabla sijaja na hii I'd.kuna I'd fulani nilikuwa naitumia,Nilikuwa mchokozi na mtu wa matusi Sana.
Kuna siku nilimtukana mtu matusi Makali Sanaa na yeye akawa ananitukana matusi Makali,
tukafika mbali zaidi, tukaanza kutukaniana wazazi wetu na viungo vyao+Mambo ya kishoga kwa wazazi wetu.
Bahati mbaya I'd zilikuwa zinatudanganya..nakumbuka Ugomvi ulihamia Hadi Pm.

Mara Paaap siku, Nikawa nahitaji simu ya mshua nitume Email na barua ya kazini kwa Kamishina coz simu Yangu haikuwa na Moto (chaji) (Nilienda home kuwatembelea).

Baada ya kumaliza kazi zangu,nikiwa na peruzi na ku, check Apps za kwenye simu, ghafla nikashtuka kuona,Apps ya Jamiiforums.!nikawa na maswali mengi,ila nikaona Ngoja niingie Aha Hamad!!!!! nikakuta ile I'd AMBAYO nilikuwa natukanana nayo na Mambo mengine Kumbe Ni mzee wangu wa kunizaa KABISA.!

Nilikosa Nguvu na Pozi,na ndani ya Moyo wangu nikapata Maumivu Makali Sanaa coz kumbe nilikuwa nawatukana wazazi (Coz ilifikia extent nikawa naita ile I'd kuwa Ni punga na huwa nampigia mke wake)
ukitazama Ni matusi na laana AMBAYO nilijitengenezea .
ikabidi nimuite mzee na kumuomba Sana radhi na haikuishia Hapo hadi kwa Mama Yangu an ndugu zangu.
na hapo nikaachana na I'd ya mwanzo.

ila nikajiapiza kuwa,
Sitokuja kutukana,kumchukua mtu au kumjibu vibaya yeyote Humu Jf
coz wale wa mtaani na ndugu wa Koo na damu ndiyo Hawa Hawa huwa tupo nao Jamiiforums.

so Haina haja au Maana ya kuwa na chuki kwa Mtu.
Jaribu ku, relax na kupotezea
Mkuu.

na c WEWE hata kwa members wengine Wote

AHSANTE.
 
Back
Top Bottom