eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Wana sport hizi taarifa ninazozisikia ni za kweli kumuhusu huyu mchezaji wa dunia kua ni shoga
Kama ni kweli bas dunia imeisha
Kama ni kweli bas dunia imeisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 310027 sio shoga punguza ukali wa Maneno ila ni punga a.k.a Mtoto sio rizik
Wewe Mpuuzi Sana Eti Dunia Imefika Mwisho,kisa Ronaldo Kuwa Punga Ndio Unashangaa
Kwani kufunga nne ndio atakua sio punga mkuu lisemwalo lipo mkuuZile nne za jana angewachapia nyie ndo mngejua huo ushoga wake
Mtoto mama yake hajulikani sasa anatofaut gani na Mzee wa sacrifice pia watoto wakali kama Irina shyk penado alikuwa anagongewa na yule Mzee blata aliyekuwa wa FIFA kipind hiko jamaa anaishi naye ila Mzee alikuwa anajipigia kama kawa had kampora kabisa na demu akampiga kibut jamaa hvyo FIKIRIA KWA MAKINI CHUKUA HATUA cr7 ni bwabwaPicha nyingine zinaeza kuwa za kufoji tu, mbona huyu jamaa anadate na watoto wakali na ana mtoto
ni vitu vya ajabu sana,inashangaza lakini dunia haitafika mwisho kisa ni ronaldoSasa we unaona ni vitu vya Kawaida ivyo!!
View attachment 310027 sio shoga punguza ukali wa Maneno ila ni punga a.k.a Mtoto sio rizik