Hivi ni kweli Elimu ya mjinga ni Majungu?

Hivi ni kweli Elimu ya mjinga ni Majungu?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Hivi ni kweli Elimu ya mjinga ni Majungu?
Tena ni eti, Bora kukosa mali lakini Upate akili? Eti Elimu ni Bahari haina Mwisho.

maneno na misemo hii ya kiswahili ilikusudia nini hasa au ilitoholewa wapi?
 
Back
Top Bottom