Hivi ni kweli eti

Hivi ni kweli eti

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
1:Wasukuma wanakaa bafuni dakika 30 dakika 5 anaoga zilizobaki anasugua yebo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

2:Kuna vitu viwili mdada huwaza anapoenda kukutana na bae mpya kwa mara ya kwanza

(1)Leo ata akinishawishi vipi sifanyi mapenzi kwa kweli
(2) Lakini ngoja ninyoe tuuuuu kabisa lolote linaweza tokea.

wanawake asee.

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125]‍♂[emoji125]‍♂[emoji125]‍♂[emoji125]‍♂[emoji125]‍♂[emoji125]‍♂ .
 
Au anatafuta chupi itayompendeza wakati anajiapiza hatatiwa
 
Back
Top Bottom