Extroverted Introvert
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 1,145
- 2,937
Dunia ina mambo mengi ya ajabu ajabu. Timu ya mpira inamlipa mchezaji wa nje mpaka million 50 kwa mwezi na bado kuna wachezaji wengine kibao na wafanyakazi wengine. Jiulize pesa wanapata wapi za kuweza kufanya yote hayo. Utaishia kusikia kuna wadhamini sijui kina GSM au Mo. Sasa hao wadhamini wanapata kitu gani kutoka kwenye hizo timu,kuuza jezi ???Hatununui na hatulipii kazi zao lakini wana pesa za kufa mtu, wanazitoa wapi?
Jersey zenyewe sisi tunanunua za mchongo.Dunia ina mambo mengi ya ajabu ajabu. Timu ya mpira inamlipa mchezaji wa nje mpaka million 50 kwa mwezi na bado kuna wachezaji wengine kibao na wafanyakazi wengine. Jiulize pesa wanapata wapi za kuweza kufanya yote hayo. Utaishia kusikia kuna wadhamini sijui kina GSM au Mo. Sasa hao wadhamini wanapata kitu gani kutoka kwenye hizo timu,kuuza jezi ???
Hayo mambo ya juzi tu kabla ya spotfy, youtube na insta alikuwa anatoa wapi?Kwahiyo zile namba za youtube, spotify, apple music anasikiliza nani?
Tamasha anazofanya halipwi?
Ubalozi wa kampuni mbali mbali je?