uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Kiukweli nilimpinga meneja wa manchester united kumsajili onana na kumwondoa degea
Imekuja hii tena kocha kutaka kuwatoa kafara wachezaji wawili viungo Fred na macTonomy kwa ajili ya kiungo sofyian wa florentine
Ni kweli kila kocha anawechezaji wake lkn hapa napata mashaka na kocha kwa mara ingine tena
Kocha ameona nini kwa sofyian?
Kwa upekee sofyian nilimuangalia kwenye mechi za kombe la dunia ambako ndipo alipofanya vizuri na timu yake ya morocco lkn akiwa na timu yake ya florentine ni kiungo mbovu tu hana maajabu ya kuwazidi fred na macTonomy ni either wapo sawa au amezidiwa
Jamaa ni mzito mno hata kukimbia ni shida
kukaba kwake anatumia nguvu nyingi kuliko akili
Hivi ni kweli ulaya mzima Eric hajaona kiongo mkabaji zaidi ya sufyian tena kwa kuwatoa kafara wachezaji watatu na wawili wakiwa na uwezo mkubwa tu?
Anyway,time spares