Hivi Ni Kweli Gari ya M/Mwenyekiti ni M400?!!!

Hivi Ni Kweli Gari ya M/Mwenyekiti ni M400?!!!

Ifike wakati muwe mnatupa na sisi hela kupush handle ya kuponda CHADEMA na Heche
 
CHADEMA imewageuza kuwa wapiga majungu! Hadi aibu. Hakuna tena ushawishi kwa wananchi, badala yake mnawatafutia zengwe ili waonekane hawafai kama mlivyo nyinyi mafisadi na majambazi sugu.
 
Bila shaka wananchi wategemee kuyaona ya M800-1B baada ya kushika madaraka 2090.

Mark my words.
Mwenyekiti anatembea na gari ya bei raisi sawa na wasaniii wa Bongo Fleva, ni aibu , Walau wamnunulie Gari ya 1bn inayoendanan na hadhi yake.
 
Back
Top Bottom