DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Kwa hiyo uyahudi ndio dini kuliko ukristo wenu , mbona hamuelewi Mungu wenu analinda wayahudi kuliko nyie wakristo , ina maana uyahudi una thamani kuliko ukristo ?
😳 😳
Hawa hata hatuwaelewi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo uyahudi ndio dini kuliko ukristo wenu , mbona hamuelewi Mungu wenu analinda wayahudi kuliko nyie wakristo , ina maana uyahudi una thamani kuliko ukristo ?
😳 😳
Una ushahidi wa hilo?ogopa watu wanaotumia nguo za wananchi kupigana .hamas wanacho kifanya wanajichanganya na wananchi
Wewe umechukia muheshimiwa?Ndio furaha yako sio!
uliona wakati wanamuua mtanzania ile video tuanze hapoUna ushahidi wa hilo?
Angalia hayo mavazi yanafanana?
View attachment 3000330View attachment 3000332
Kwamba Israel inadetect Kila silaha. Hadi Ak, Hadi mishaleHamas wawavai magwanda wapo kiraia.. hawatembei na silaha..sababu satellite za israel zina detect kila silaha ikibebwa na ikitembezwa wao silaha zipo majumbani ukipishana na raia akaingia ndani ya nyumba basi akichungulia nje tayari kabeba silaha.. and Egypt anapenyeza bado silaha ndio maana Israel kachukua Raffah kakuta mahanadi 50 yanaelekea Sinai.. Egypt ni chui mwenye ngozi ya kondoo..
Idf akiua gaidi Aljazeera anareport ni raia mams na watoto kila kichapo issue kwa taarifa zao hadi idadi ya watoto wote wa Gaza kitakwimu ikapitiliza
Wabongo mnashida sana Israeli ..sijui lini mtakuja kugundua hao watu sio wakwenu ..umeongea kama vile ni mke wa NetanyahuHamas wawavai magwanda wapo kiraia.. hawatembei na silaha..sababu satellite za israel zina detect kila silaha ikibebwa na ikitembezwa wao silaha zipo majumbani ukipishana na raia akaingia ndani ya nyumba basi akichungulia nje tayari kabeba silaha.. and Egypt anapenyeza bado silaha ndio maana Israel kachukua Raffah kakuta mahanadi 50 yanaelekea Sinai.. Egypt ni chui mwenye ngozi ya kondoo..
Idf akiua gaidi Aljazeera anareport ni raia mams na watoto kila kichapo issue kwa taarifa zao hadi idadi ya watoto wote wa Gaza kitakwimu ikapitiliza
Gaza nisawasawa na mtwara
Mbona unajibu kwa taharuki?Kwa hiyo Israeli alikuwa mtu na siyo nchi?Halafu leo ndiyo imekuwa nchi?Ustaadh umevaa suruali fupi kama unavuka mto na akili zako zimekuwa finyu sana.Kwa hiyo hao wanaoitwa Waizraeli wametokea wapi hadi wavamie hapo walipo?
Wanajificha miongoni mwa Raia, Juzi rockets zimerushwa kutoka Rafah ila IDF ilipopiga source ya rockets umesikia vilio Kila Kona eti IDF wameua raia, vivyo hivyo pale Jabalia camp Hamas walishambulia IDF na walipojibiwa umesikia vilio tu vya raia.Hilo eneo la Gaza ni kubwa kiasi gan kiasi cha wapiganaji wa Hamas kutodhibitiwa? Imeripotiwa kuwa wanaendelea kurusha maroket kuelekea Tel aviv. Je hiyo mifumo ya ulinzi ya Israel inashindwa kugh'amua walipo? Au Dunia inachezewa akili?
Kwani DNA zinasemaje?.😂😂😂Watoke wapi wakati wako kwenye ardhi yao?
Wapalestina wanadanganywa na Waarabu kuwa ardhi ya Waisrseli ni yao! Kitu ambacho hata wakipigana hawawezi kufanikiwa!
Two states soluion ndiyo itakayomaliza vita! Palestina itambuliwe kama Taifa nje ya Mipaka ya Taifa la Israel!
Lakini kuwaza eti Waisrael watatoka kwenye ardhi yao waliyopewa na Mungu,ni ndoto za mchana! Kwa mjibu wa Biblia na Quran ni vigumu mno.
Quran 5:20-21
Biblia,Amos9:14-15
Mwisho wapalestina wasidai mji wa Yerusalemu kuwa mji wao mkuu wa Taifa lao!
Yerusalemu ni Mji mkuu wa Israeli uliojengwa na Mfalme wao Daudi zaidi ya miaka 3000 iliyopita!
Mkuu kwanza unatakiwa ujue jiografia ya GazaHilo eneo la Gaza ni kubwa kiasi gan kiasi cha wapiganaji wa Hamas kutodhibitiwa? Imeripotiwa kuwa wanaendelea kurusha maroket kuelekea Tel aviv. Je hiyo mifumo ya ulinzi ya Israel inashindwa kugh'amua walipo? Au Dunia inachezewa akili?
Endelea na dini yako ya mapepo hiyo.bibilia zenu fake,
Unapaavwapi wakati uko 1%,nao ni wahamiaji wa kiislamu kutoka uarabuniKule USA uislam unazidi kupaa
Rais wa Iran kafa kwa ajali,acheni ujingaTumeambiwa ndo waliomuua rais wa irani halafu eti wanshindwa kwa sehem isiyo na ulinzi wowote ule na wanapotawala kwa zaidi ya miaka 17
Wametokea ulaya kupitia movement ya Zionism,hao ni waumini wa dini ya kiyahudi lakini si Wana wa yakobo/Israel,wengi ni WA hazara,waturuki waliofuata dini ya uyahudi,wengine ni wazungu walioamua kufuata dini ya kiyahudi, simple and clearMbona unajibu kwa taharuki?Kwa hiyo Israeli alikuwa mtu na siyo nchi?Halafu leo ndiyo imekuwa nchi?Ustaadh umevaa suruali fupi kama unavuka mto na akili zako zimekuwa finyu sana.Kwa hiyo hao wanaoitwa Waizraeli wametokea wapi hadi wavamie hapo walipo?
If kila siku wanapiga shule,misikiti,kanisa,ofisi za UN,Leo wamepiga makazi ambayo wao wenyewe walisema ni salama watu waende na dunia nzima inalaani tofauti na wewe na bwanaako netanyahu,tunaona clip Hamas wakirusha rocket tokea sehemu tofauti kabisaWanajificha miongoni mwa Raia, Juzi rockets zimerushwa kutoka Rafah ila IDF ilipopiga source ya rockets umesikia vilio Kila Kona eti IDF wameua raia, vivyo hivyo pale Jabalia camp Hamas walishambulia IDF na walipojibiwa umesikia vilio tu vya raia.
Kiufupi ni kwamba raia wa GAZA either kwa kushurutishwa ama kwa hiari Yao wenyewe wameamua kuwalinda wanamgambo wa Hamas kwasababu mm sijawahi ona watu mnaambiwa hameni eneo Fulani muda sio mrefu litashambuliwa kwa mabomu lakini mnangangana hapo hapo acha wafe tu.
Elimu ya madrasa kila kitu ni chuki dhidi ya America na IsraelIsraeli ilikuwepo pale na siyo wakoloni kama unavyodanganywa madrasa.Chambua na fungua mambo uelewe.