Hivi ni kweli Hamas hawajulikani walipo?

Kwa hiyo uyahudi ndio dini kuliko ukristo wenu , mbona hamuelewi Mungu wenu analinda wayahudi kuliko nyie wakristo , ina maana uyahudi una thamani kuliko ukristo ?

😳 😳

Hawa hata hatuwaelewi
 
Kushoto ni kafiri wa kizayuni akimkaba mpalestina

Na kulia ni Mwanajeshi wa HAMAS akipiga story na muisrael, ndio mjue waislamu tuna imani na huruma.
 
Kwa
Kwamba Israel inadetect Kila silaha. Hadi Ak, Hadi mishale
 
Wabongo mnashida sana Israeli ..sijui lini mtakuja kugundua hao watu sio wakwenu ..umeongea kama vile ni mke wa Netanyahu
 
Hilo eneo la Gaza ni kubwa kiasi gan kiasi cha wapiganaji wa Hamas kutodhibitiwa? Imeripotiwa kuwa wanaendelea kurusha maroket kuelekea Tel aviv. Je hiyo mifumo ya ulinzi ya Israel inashindwa kugh'amua walipo? Au Dunia inachezewa akili?
Wanajificha miongoni mwa Raia, Juzi rockets zimerushwa kutoka Rafah ila IDF ilipopiga source ya rockets umesikia vilio Kila Kona eti IDF wameua raia, vivyo hivyo pale Jabalia camp Hamas walishambulia IDF na walipojibiwa umesikia vilio tu vya raia.

Kiufupi ni kwamba raia wa GAZA either kwa kushurutishwa ama kwa hiari Yao wenyewe wameamua kuwalinda wanamgambo wa Hamas kwasababu mm sijawahi ona watu mnaambiwa hameni eneo Fulani muda sio mrefu litashambuliwa kwa mabomu lakini mnangangana hapo hapo acha wafe tu.
 
Kwani DNA zinasemaje?.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hilo eneo la Gaza ni kubwa kiasi gan kiasi cha wapiganaji wa Hamas kutodhibitiwa? Imeripotiwa kuwa wanaendelea kurusha maroket kuelekea Tel aviv. Je hiyo mifumo ya ulinzi ya Israel inashindwa kugh'amua walipo? Au Dunia inachezewa akili?
Mkuu kwanza unatakiwa ujue jiografia ya Gaza

Gaza kwa sehemu wanazoishi watu kunakua na mlundikano wa majengo kama unavyoona Kariakoo

Kwa udogo wa Gaza na mazingira yao ya kufungiwa kama wapo gerezani Hamas wakaona ujanja ni kujenga mtandao wa matanuru yanayopita chini ya makazi wanapoishi watu

Hawana kambi za open space, wanarusha makombora kutokea chini ya nyumba na wanapita chini kwa chini
Ili kuwapiga ni lazima kwanza udeal na raia wanaoishi juu ya matanuru

Ndio maana Israel ikaona dawa ni kuwahamisha wote eneo moja halafu unatwanga mabomu na kuharibu mfumo wote

Sehemu kubwa wamekwisha isambaratisha kwa mabomu imebaki hapo Rafah ambapo silimia kubwa ya raia wapo hapo

Lakini pia Hamas hawavai sare yoyote wala hawapambani na IDF uso kwa uso, wapo miongoni mwa raia na kona wanazo zijua wao, IDF wakijichanganya kidogo tu wanalipuliwa kwa kuviziwa
 
Kama panya road huwezi wajua. Utakamata hadi vijana wavuta bangi unawaita panyaroad. Wenyewe wametulia kwenye vilinge wanasubiri kupiga show.
 
Hawa wanaelewana tuwaache kabisaa....wala hatuwawezi hata....
 
Wametokea ulaya kupitia movement ya Zionism,hao ni waumini wa dini ya kiyahudi lakini si Wana wa yakobo/Israel,wengi ni WA hazara,waturuki waliofuata dini ya uyahudi,wengine ni wazungu walioamua kufuata dini ya kiyahudi, simple and clear
 
If kila siku wanapiga shule,misikiti,kanisa,ofisi za UN,Leo wamepiga makazi ambayo wao wenyewe walisema ni salama watu waende na dunia nzima inalaani tofauti na wewe na bwanaako netanyahu,tunaona clip Hamas wakirusha rocket tokea sehemu tofauti kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…