Kaka nenda Fb soma profile za mademu wote wamesoma UDSm/UDom tena wengine hufika mbali hizo taasisi hujaza hata palr highschool na primary school zote ni udsm na udomSikuhizi ukichati na manzi tinder au badoo utakuta manzi anasema yuko chuo flani, udsm, ifm, saut n.k.
Ajabu ukiomba tunda atakupa bei then namba ya simu then mnakutana eneo la mikasi.
Hua najiuliza enzi zangu niko chuo mbona sikuwa najua kama wapo wanajiuza ningekuwa nawapata kiurahisi kuliko ninavyowapata sasa hv nikiwa siko chuoni.
Alafu unakuta kuna masela pale chuoni wanateseka kula kwa macho tu.
lets meet at top cheersSikuhizi ukichati na manzi tinder au badoo utakuta manzi anasema yuko chuo flani, udsm, ifm, saut n.k.
Ajabu ukiomba tunda atakupa bei then namba ya simu then mnakutana eneo la mikasi.
Hua najiuliza enzi zangu niko chuo mbona sikuwa najua kama wapo wanajiuza ningekuwa nawapata kiurahisi kuliko ninavyowapata sasa hv nikiwa siko chuoni.
Alafu unakuta kuna masela pale chuoni wanateseka kula kwa macho tu.
Study timeππππππkumbe bado unahangaika na Malaya wa mitandaoni!!!! Poyeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe bado unahangaika na Malaya wa mitandaoni!!!! Poyeeee
Kuna jamaa yangu aliniambia hapa dar kuna machimbo wanachuo huendaga kujiuzia yako sinza,tabata nk. nk.Mimi wakati nipo chuo sikujiuza wala sikuwai kuona rafiki zangu wakijiuza..
Lakini haimaanishi kuwa hawapo. Mimi sijawai shuhudia KABISA.
wewe mzee ulishawahi kuona mwanachuo anayejiuza?Wanachuo wanaojiuza ni mmoja mmoja sana na ni adimu kuwaona , lakini eti wanachuo wakiishiwa boom wanaenda kujiuza barabarani huo ni uongo mkubwa, na wengi wanasemaga ivyo vitu hawajaatend chuo kikuu