Hivi ni kweli hawa wanaojiuza mtandaoni ni wanachuo kweli au wanajikweza?

Hivi ni kweli hawa wanaojiuza mtandaoni ni wanachuo kweli au wanajikweza?

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Siku hizi ukichati na manzi tinder au badoo utakuta manzi anasema yuko chuo flani, UDSM, IFM, SAUTI n.k. Ajabu ukiomba tunda atakupa bei then namba ya simu then mnakutana eneo la mikasi.

Huwa najiuliza enzi zangu niko chuo mbona sikuwa najua kama wapo wanajiuza ningekuwa nawapata kiurahisi kuliko ninavyowapata sasa hv nikiwa siko chuoni.

Halafu unakuta kuna masela pale chuoni wanateseka kula kwa macho tu.
 
Sikuhizi ukichati na manzi tinder au badoo utakuta manzi anasema yuko chuo flani, udsm, ifm, saut n.k.
Ajabu ukiomba tunda atakupa bei then namba ya simu then mnakutana eneo la mikasi.

Hua najiuliza enzi zangu niko chuo mbona sikuwa najua kama wapo wanajiuza ningekuwa nawapata kiurahisi kuliko ninavyowapata sasa hv nikiwa siko chuoni.

Alafu unakuta kuna masela pale chuoni wanateseka kula kwa macho tu.
Kaka nenda Fb soma profile za mademu wote wamesoma UDSm/UDom tena wengine hufika mbali hizo taasisi hujaza hata palr highschool na primary school zote ni udsm na udom
 
Sikuhizi ukichati na manzi tinder au badoo utakuta manzi anasema yuko chuo flani, udsm, ifm, saut n.k.
Ajabu ukiomba tunda atakupa bei then namba ya simu then mnakutana eneo la mikasi.

Hua najiuliza enzi zangu niko chuo mbona sikuwa najua kama wapo wanajiuza ningekuwa nawapata kiurahisi kuliko ninavyowapata sasa hv nikiwa siko chuoni.

Alafu unakuta kuna masela pale chuoni wanateseka kula kwa macho tu.
lets meet at top cheers
 
😂😂😂😂😂😂kumbe bado unahangaika na Malaya wa mitandaoni!!!! Poyeeee
Study time
Malaya: ni mwanamke anayelala na mwanaume asiye mume wake
Wa mtandaon:Ni mtu aliye Katika mitandao ya kijamii(whatsapp,tinder,instagram,Jamiiforums,Badoo,Facebook)

Tukiunganisha hizo definition mbili msichana yeyote aliye mtandaon ambaye alishawahi kulala na mwanaume asiye mume wake ni Malaya wa mtandaon.

Inaweza kuwa hata wewe umo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe bado unahangaika na Malaya wa mitandaoni!!!! Poyeeee

Hata wewe kama una profile mtandaoni na ukatongozwa ukaenda ukapewa nauli ni malaya[emoji16] si ajabu hata uyo anayelipia ada za watoto wa bwana zako ni danga lako[emoji1787]
 
Mimi wakati nipo chuo sikujiuza wala sikuwai kuona rafiki zangu wakijiuza..

Lakini haimaanishi kuwa hawapo. Mimi sijawai shuhudia KABISA.
Kuna jamaa yangu aliniambia hapa dar kuna machimbo wanachuo huendaga kujiuzia yako sinza,tabata nk. nk.
Sasa cha ajabu mwenyewe nimesoma chuo ila sijawahi sikia wanachuo wanaojiuza.
Maybe kwasababu UD ni chuo kikubwa kwahyo watu hawajuani inakuwa rahisi kujiuza(im thinkn out loud)

Lakin bado siamin kama wanachuo huwa wanajiuza kama inavyoaminika mtaani

mtaani kuna story eti wakimaliza boom wanaendaga kujipanga kama nyanya

mimi niliwaona hadi wanashindia mihogo na maembe ila sikuona wakijiuza sasa bado sielew hii dhana ni kweli au uzushi watu wakiona bidada club ameweka wigi,kucha ndefu,makeup kwa sana wanaassume ni mwanachuo.

This is my connundrum
 
Wanachuo wanaojiuza ni mmoja mmoja sana na ni adimu kuwaona , lakini eti wanachuo wakiishiwa boom wanaenda kujiuza barabarani huo ni uongo mkubwa, na wengi wanasemaga ivyo vitu hawajaatend chuo kikuu
wewe mzee ulishawahi kuona mwanachuo anayejiuza?
 
Back
Top Bottom