Hivi ni kweli hawa wanaojiuza mtandaoni ni wanachuo kweli au wanajikweza?

Na Mimi nimesoma uDSM ..UDBS.. kwakweli sikushuhudia kabisa

Lakini haimaanishi hawapo..inawezekana wapo..
 
wewe mzee ulishawahi kuona mwanachuo anayejiuza?
Mmoja tu chuo kizima nishabahatika kumuona maeneo ila nahisi wanaojiuza ni wachache sana tofauti inavyokuzwa mtaani pia kujiuza kwao itakuwa ni tofauti na watu wa kawaida itakuwa indirectly sana sio vile waziwazi kama wanavyofanya wasichana na wanawake wasio wasomi
 
company yako ilikuwa ya waimba qaswida au waenda club?
Mh... Company yangu ilikua ya wasongo... Maana sikua naenda club Wala msikitini Wala sikua nakunywa pombe...ilikua Mimi nabf wangu na kusoma...TU
 
Mh... Company yangu ilikua ya wasongo... Maana sikua naenda club Wala msikitini Wala sikua nakunywa pombe...ilikua Mimi nabf wangu na kusoma...TU
Maybe ndo maana "hukuwajua"

Nje ya mada: Mfano time ikirudi nyuma ukarudi chuo utaishi maisha gani? Ya usongo,bata,club au msikitini??
Yaan baada ya kumalza chuo na kupambana na life unaona uliishi sawa maisha yako ya chuo?
 
Kihistoria hapa Dar kulikuwa na vyuo na shule ambazo wasichana wake wanajiuza
Zamani kabla CBE haijaundwa level na kuanza kutoa degree kilikuwa chuo maarufu zaidi
Kwa wasichana wanaojiuza ..hasa walikuwa wanaenda jiuza club bilicanas ..
Sijui Kwa sasa reality ikoje..
Udsm hawakuwahi kuwa na sifa ya kujiuza night club isipokuwa mlimani city kutega kiaina na baadhi ya Bar maarufu sinza kama Maeda ..but nayo wachache sana na sometimes kuthibitisha ni kweli madenti ni ngumu...so uzushi ni mwingi lakini
Ukweli upo ingawa sio widespread kama inavyo vuma..

Mfano wapo now wasichana wengi wa TIA wanakesha pale liquid club..na pale pia kuna wasichana wengi wanaojiuza ambao sio wanafunzi wa TIA..sasa unaona hiyo confusion?
 
Ni waongo kabisa, tena waongo, hakuna binti wa chuo anaweza kujiuza. Just cheki background za wasichana wengi wanaofika chuo, kwanza wamekulia mazingira fulani yasiyoruhusu kuuza miili yao, wengi wao wanatoka familia zinazojiheshimu, kama siyo dini basi kunakuwa na status fulani. Huu mtindo umeibuka sana karibuni baada ya kuona wanaume wanapena msichana mwenye msimamo na pia ni rahisi sana kuomba hela kwa kisingizio photocopy, boom limeisha nataka kula chipsi, laptop ninunulie, natengeneza nywele nina presentation, lecture anataka tuhonge hela ili nifaulu maana wewe ulikuwa unaniweka sana kimapenzi etc, kwa ufupi changudoa siku hizi ndiyo mtindo wao, na wengine wameenda mbali zaidi wanahudhuria mpaka vipindi japo ajue abc au anaweka appointment ya kuchukuliwa chuoni ili aonekane mwanachuo, wengine wana save mpaka namba za wanaume wengine kama Dr Fulani au ku act kama kapigiwa na mwanafunzi mwenzie ili kumlaghai mwanaume husika, kwa ufupi wanaume mmelizwa sana kwa huu ujinga wenu kama wa kumshabikia puppet a.k.a kibaraka lisu
 
acha uongo hakuna mwanachuo anayejiuza
 
Wanachuo wanaojiuza ni mmoja mmoja sana na ni adimu kuwaona , lakini eti wanachuo wakiishiwa boom wanaenda kujiuza barabarani huo ni uongo mkubwa, na wengi wanasemaga ivyo vitu hawajaatend chuo kikuu
Hawapo kabisa, yaani ukifanyika msako wa kuwakamata hao wanaosema ni wanachuo ndiyo utajua ni majanga. Hakuna mwanachuo msichana anayeweza kujiuza, maan background za wasichana wengi si za kujiuza
 
Hivi vitu vinachanganya sana mzee
 
Hawapo kabisa, yaani ukifanyika msako wa kuwakamata hao wanaosema ni wanachuo ndiyo utajua ni majanga. Hakuna mwanachuo msichana anayeweza kujiuza, maan background za wasichana wengi si za kujiuza
Umeongea kwa uhakika sana kama vile umeshafanya research ya wanachuo wote Tz.
ila kuwa na background ya wachungaji haimzuii mtu kujiuza sometimes(most times) Wasichana wengi huharibikia chuo
Company na kutaka kuishi maisha ghali huwafanya wabadili mienendo.
 
Maybe ndo maana "hukuwajua"

Nje ya mada: Mfano time ikirudi nyuma ukarudi chuo utaishi maisha gani? Ya usongo,bata,club au msikitini??
Yaan baada ya kumalza chuo na kupambana na life unaona uliishi sawa maisha yako ya chuo?
Kusoma na kuswali...
.. sitamani maisha ya club Wala yakunywa pombe au kuvuta Bangi...Ningerudisha siku nyuma ningefanya matendo mema..ya kumpendeza Mungu.
 
Kusoma na kuswali...
.. sitamani maisha ya club Wala yakunywa pombe au kuvuta Bangi...Ningerudisha siku nyuma ningefanya matendo mema..ya kumpendeza Mungu.
Kwahyo ungeendelea kuwa msongo + msikitini?
Au ungepunguza usongo kidogo
 
Kusoma na kuswali...
.. sitamani maisha ya club Wala yakunywa pombe au kuvuta Bangi...Ningerudisha siku nyuma ningefanya matendo mema..ya kumpendeza Mungu.
Sasa kitambi kimekujaje kumbe sio mtu wa bwax. We unaoneka ulikua mtu wa kut!w@ tu na kusoma
 
Huyu mshamba atakuwa katoka kijijin
Anafikiri wote wako kama yeye
Si juzi Tu hapa ime leak video ya msichana wa ifm?Alijirekodi na nani? Mpenzi au mteja wake?Umeiona Ile video?Ulifuatilia mjadala?
 
Na hawa video sex zao zinazo leak sio wanafunzi?
Walijirekodi na waume zao wa wa ndoa?
Umekuja lini mjini??
Unajua background za wasichana wote wa vyuo?
Hebu tupe background za hawa wawili ambao video zao zina trend
mzee nipe maconnection..hizo video sjazichek
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…