Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,343
- 10,799
Na Mimi nimesoma uDSM ..UDBS.. kwakweli sikushuhudia kabisaKuna jamaa yangu aliniambia hapa dar kuna machimbo wanachuo huendaga kujiuzia yako sinza,tabata nk. nk.
Sasa cha ajabu mwenyewe nimesoma chuo ila sijawahi sikia wanachuo wanaojiuza.
Maybe kwasababu UD ni chuo kikubwa kwahyo watu hawajuani inakuwa rahisi kujiuza(im thinkn out loud)
Lakin bado siamin kama wanachuo huwa wanajiuza kama inavyoaminika mtaani
mtaani kuna story eti wakimaliza boom wanaendaga kujipanga kama nyanya
mimi niliwaona hadi wanashindia mihogo na maembe ila sikuona wakijiuza sasa bado sielew hii dhana ni kweli au uzushi watu wakiona bidada club ameweka wigi,kucha ndefu,makeup kwa sana wanaassume ni mwanachuo.
This is my connundrum
Lakini haimaanishi hawapo..inawezekana wapo..