Hivi ni kweli hawa wanaojiuza mtandaoni ni wanachuo kweli au wanajikweza?

Huyu mshamba atakuwa katoka kijijin
Anafikiri wote wako kama yeye
Si juzi Tu hapa ime leak video ya msichana wa ifm?Alijirekodi na nani? Mpenzi au mteja wake?Umeiona Ile video?Ulifuatilia mjadala?
Halafu hizi mambo za connection mi sinaga kabisa
Jukwaa la wakubwa lilikua linanitoa lkn ndio hivo lishafutwa.
Connexns km mbili zimenipita. Na bado zitanipita future connexns. Dah
 

Exactly
Hawajiuzi waziwazi
Wakienda club wanaenda kama kustarehe Tu..
Na kwenye mahoteli wana madalali wao..
Wanapigiwa simu ..
Na ni asilimia chache sio kama inavyo vumishwa
 
Kwahyo ungeendelea kuwa msongo + msikitini?
Au ungepunguza usongo kidogo
Wala nisingepunguza Usongo....Kwani kilichonipata Chuo Ni Nini ..sijawai jutia Usongo wangu.

Ila Sio Kwamba kulikua Hanmna happy times..zilikuwa..kuangalia move mcity, beach,kufanya shopping, kusuka...n.k... na nlifurahia maisha ya chuo.. kwakweli
 
Sasa kitambi kimekujaje kumbe sio mtu wa bwax. We unaoneka ulikua mtu wa kut!w@ tu na kusoma
Aiseee.... Kama umesoma bandiko langu la tumbo..hili Swali usingeuliza
 
Nimegusa penyewe Yani, kakosa wateja mtaani mpk kuingia mtandaoni maana yake unachukua vilivyododa
 
Hata wewe kama una profile mtandaoni na ukatongozwa ukaenda ukapewa nauli ni malaya[emoji16] si ajabu hata uyo anayelipia ada za watoto wa bwana zako ni danga lako[emoji1787]
Uozo anakula viozo vyenzie endelea kula vilivyododa, kavuka mitandaoni yote mpaka kwenda kujianika badoo nk huyo nae ni mwanamke au uvundo wa mwanamke, ndo maana una hasira sana
 

Kuwa makini kwenye kutuma nauli.
 
Kuwa na wanaume wengi kwa wakati mmoja ndo kujiuza kwenyewe huko.
 
Hilo wanachuo ni bland name tuu
 
True washajua wateja wao wanapenda watoto wa chuo. Kuna mmoja tulikutana nae Morogoro akasema anasoma chuo Mzumbe kumuuliza anasoma course gani akajibu "Nasoma Arts"
 
Mbinu ya kujiuza mitaani inatumiwa na wadada local local wasioenda shule. Ni mbinu ngumu, yenye changamoto nyingi na ya kidhalilishaji. So siku hizi mbinu inayotumika na pisi kali za chuo ni kuanzisha mahusiano na wanaume wengi halafu anakua anavuta mpunga kwa kila mwanaume kwa kadri ya uwezo wake. Hii imerahisishwa na mitandao hasa instagram ambapo demu ana display picha zake nzuri, then anatulia zake. Wanaume wakimtongoza anawa rank kwa kuangalia "potential" ya kila mmoja na wale anaoona wanalipa anawakubali. Kwa kufanya hivyo anakua na uhakika wa kutolewa outing kila anapotaka, kutumiwa hela za vocha, material, kula, salon, nk kiasi apendacho, kulipiwa "kiasi cha ada alichopungukiwa", vijizawadi kama simu kali, shopping nk. Wengi wa wadada wanaojiuza kwa aina hii ni ngumu kuwashtukia kwani hua hawapendi kuishi hostel, wao hupanga nje ya vyuo. Kama ikitokea anaishi hostel, basi hua anaweza "kupotea" ghafla unashangaa anarudi baada ya siku 2 au 3 na kamwe hakubali mwanaume amfuate hostel.
 
si kweli kuwa wote ni wanachuo wengine wapo kwa baba zao au get together tuu na hata chuo hawakijui sema wanatumia jina chuo ili kuteka fikra zako.

Japo na hao wanachuo wa kike nao wapo kwenye hilo lindi la dada poa
 
Wanachuo wanaojiuza ni mmoja mmoja sana na ni adimu kuwaona , lakini eti wanachuo wakiishiwa boom wanaenda kujiuza barabarani huo ni uongo mkubwa, na wengi wanasemaga ivyo vitu hawajaatend chuo kikuu
Tuseme ukweli, chuk kikuu kuna kitu gani cha ajabu?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Wengi hao ni machangudoa Ila hudaganya wanaume wawachune vizuri, wengine hununua Hadi Room mabibo ili wawadaganye wanaume wanaopenda kusikia kuhusu chuo, ukitaka kujua ni wanafunzi waulize development studies ni nini Kama watakujibu
 
Huo ulioandika ni ukweli mtupu, wengi hudaganya ni wanachuo kutega wanaume wawaaamini kuwa ni shida ya bumu Mara photocopy kumbe hamna kitu, tena wengine hununua rumu za hostel Kama mabibo kumbe sio wanafunzi wanahonga Hadi walinzi wapite free getini, sasa wanaume wanaingia mkenge, miaka yangu niliyosoma udsm sijawahigi kukutana na hyo kitu, wengi waliofika chuo kikuu hasa udsm wametoka strictly family na wananielewa na huwezi jkuta wanajiuza, zaidi huende sehemu expensive.
 
Wanaojiuza wapo tena wengi tu, sema wanafanya kwa siri sana

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app

Haswaa.. wapo wengi ila kuwastukia ni ngumu.
Ila pia nilichogundua kwa wale wanaofanya hii kazi kwa umakini, aisee by the time anamaliza chuo unakuta mdada yuko vizuri wengine wana biashara zao kabisa kama maduka ya nguo, migahawa, saluni nk pia wengi wana usafiri binafsi na wanaishi nyumba za maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…