The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Ilikuwepo moja wa Ifm jukwaa la wakubwamzee nipe maconnection..hizo video sjazichek
Jukwaa limefutwa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwepo moja wa Ifm jukwaa la wakubwamzee nipe maconnection..hizo video sjazichek
Halafu hizi mambo za connection mi sinaga kabisaHuyu mshamba atakuwa katoka kijijin
Anafikiri wote wako kama yeye
Si juzi Tu hapa ime leak video ya msichana wa ifm?Alijirekodi na nani? Mpenzi au mteja wake?Umeiona Ile video?Ulifuatilia mjadala?
Mmoja tu chuo kizima nishabahatika kumuona maeneo ila nahisi wanaojiuza ni wachache sana tofauti inavyokuzwa mtaani pia kujiuza kwao itakuwa ni tofauti na watu wa kawaida itakuwa indirectly sana sio vile waziwazi kama wanavyofanya wasichana na wanawake wasio wasomi
Wala nisingepunguza Usongo....Kwani kilichonipata Chuo Ni Nini ..sijawai jutia Usongo wangu.Kwahyo ungeendelea kuwa msongo + msikitini?
Au ungepunguza usongo kidogo
Aiseee.... Kama umesoma bandiko langu la tumbo..hili Swali usingeulizaSasa kitambi kimekujaje kumbe sio mtu wa bwax. We unaoneka ulikua mtu wa kut!w@ tu na kusoma
Nimegusa penyewe Yani, kakosa wateja mtaani mpk kuingia mtandaoni maana yake unachukua vilivyododaStudy time
Malaya: ni mwanamke anayelala na mwanaume asiye mume wake
Wa mtandaon:Ni mtu aliye Katika mitandao ya kijamii(whatsapp,tinder,instagram,Jamiiforums,Badoo,Facebook)
Tukiunganisha hizo definition mbili msichana yeyote aliye mtandaon ambaye alishawahi kulala na mwanaume asiye mume wake ni Malaya wa mtandaon.
Inaweza kuwa hata wewe umo
Uozo anakula viozo vyenzie endelea kula vilivyododa, kavuka mitandaoni yote mpaka kwenda kujianika badoo nk huyo nae ni mwanamke au uvundo wa mwanamke, ndo maana una hasira sanaHata wewe kama una profile mtandaoni na ukatongozwa ukaenda ukapewa nauli ni malaya[emoji16] si ajabu hata uyo anayelipia ada za watoto wa bwana zako ni danga lako[emoji1787]
Siku hizi ukichati na manzi tinder au badoo utakuta manzi anasema yuko chuo flani, udsm, ifm, saut n.k.
Ajabu ukiomba tunda atakupa bei then namba ya simu then mnakutana eneo la mikasi.
Huwa najiuliza enzi zangu niko chuo mbona sikuwa najua kama wapo wanajiuza ningekuwa nawapata kiurahisi kuliko ninavyowapata sasa hv nikiwa siko chuoni.
Halafu unakuta kuna masela pale chuoni wanateseka kula kwa macho tu.
Mmoja tu chuo kizima nishabahatika kumuona maeneo ila nahisi wanaojiuza ni wachache sana tofauti inavyokuzwa mtaani pia kujiuza kwao itakuwa ni tofauti na watu wa kawaida itakuwa indirectly sana sio vile waziwazi kama wanavyofanya wasichana na wanawake wasio wasomi
True washajua wateja wao wanapenda watoto wa chuo. Kuna mmoja tulikutana nae Morogoro akasema anasoma chuo Mzumbe kumuuliza anasoma course gani akajibu "Nasoma Arts"Kuna jamaa yangu aliniambia hapa dar kuna machimbo wanachuo huendaga kujiuzia yako sinza,tabata nk. nk.
Sasa cha ajabu mwenyewe nimesoma chuo ila sijawahi sikia wanachuo wanaojiuza.
Maybe kwasababu UD ni chuo kikubwa kwahyo watu hawajuani inakuwa rahisi kujiuza(im thinkn out loud)
Lakin bado siamin kama wanachuo huwa wanajiuza kama inavyoaminika mtaani
mtaani kuna story eti wakimaliza boom wanaendaga kujipanga kama nyanya
mimi niliwaona hadi wanashindia mihogo na maembe ila sikuona wakijiuza sasa bado sielew hii dhana ni kweli au uzushi watu wakiona bidada club ameweka wigi,kucha ndefu,makeup kwa sana wanaassume ni mwanachuo.
This is my connundrum
Tuseme ukweli, chuk kikuu kuna kitu gani cha ajabu?Wanachuo wanaojiuza ni mmoja mmoja sana na ni adimu kuwaona , lakini eti wanachuo wakiishiwa boom wanaenda kujiuza barabarani huo ni uongo mkubwa, na wengi wanasemaga ivyo vitu hawajaatend chuo kikuu
Huo ulioandika ni ukweli mtupu, wengi hudaganya ni wanachuo kutega wanaume wawaaamini kuwa ni shida ya bumu Mara photocopy kumbe hamna kitu, tena wengine hununua rumu za hostel Kama mabibo kumbe sio wanafunzi wanahonga Hadi walinzi wapite free getini, sasa wanaume wanaingia mkenge, miaka yangu niliyosoma udsm sijawahigi kukutana na hyo kitu, wengi waliofika chuo kikuu hasa udsm wametoka strictly family na wananielewa na huwezi jkuta wanajiuza, zaidi huende sehemu expensive.Ni waongo kabisa, tena waongo, hakuna binti wa chuo anaweza kujiuza. Just cheki background za wasichana wengi wanaofika chuo, kwanza wamekulia mazingira fulani yasiyoruhusu kuuza miili yao, wengi wao wanatoka familia zinazojiheshimu, kama siyo dini basi kunakuwa na status fulani. Huu mtindo umeibuka sana karibuni baada ya kuona wanaume wanapena msichana mwenye msimamo na pia ni rahisi sana kuomba hela kwa kisingizio photocopy, boom limeisha nataka kula chipsi, laptop ninunulie, natengeneza nywele nina presentation, lecture anataka tuhonge hela ili nifaulu maana wewe ulikuwa unaniweka sana kimapenzi etc, kwa ufupi changudoa siku hizi ndiyo mtindo wao, na wengine wameenda mbali zaidi wanahudhuria mpaka vipindi japo ajue abc au anaweka appointment ya kuchukuliwa chuoni ili aonekane mwanachuo, wengine wana save mpaka namba za wanaume wengine kama Dr Fulani au ku act kama kapigiwa na mwanafunzi mwenzie ili kumlaghai mwanaume husika, kwa ufupi wanaume mmelizwa sana kwa huu ujinga wenu kama wa kumshabikia puppet a.k.a kibaraka lisu
Wanaojiuza wapo tena wengi tu, sema wanafanya kwa siri sana
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app