Hivi ni kweli hawa wanaojiuza mtandaoni ni wanachuo kweli au wanajikweza?

Stor za vijiwen ..hakuna mwanachuo anaweza fanya hvo...ni stor za wenye wivu tu..kutaka kuwashusha hadh dada zetu wasomi...
 
Hao wa mitandaoni wengi ni darasa la pili B nasoma katika chuo kimojawapo hapa DSM hao watoto wananyodo sana wanamsururu wa wanaume kila mmoja ukimgusa anakwambia ana mtu wake pili utapigwa vizinga mpaka itakimbia we mwenyewe mademu wa UD ili ajibu salamu yako lazima uonyeshe mfuko wako upo vizuri kupewa namba ni mtihani mwingine lakini kwa kuwa sisi wanaume tumeumbwa kuwa na mbinu za kuwaweza hawa viumbe baada ya mlo kifuatacho wenyewe wanajua.
 
Mh... Company yangu ilikua ya wasongo... Maana sikua naenda club Wala msikitini Wala sikua nakunywa pombe...ilikua Mimi nabf wangu na kusoma...TU
Jamaa atakuwa alikutandika sana, maana starehe yako ilikuwa borooo tu
 
Sasa za mtandaon si ndo hizo hizo ziko mtaan
..Au kuna dunia yao tofaut wanaishi wa mtandaon?
tofautisha anaetumia mtandao pasipo lengo la kujiuza na anaetumia mitandao kwa ajili ya biashara ya ngono, na tena mitandao yenyewe ni badoo nk
 
Wapo
 
Kweli kabisa. Wapo wengi wa aina hii, hata Facebook wamejaa sana. Wanaweka picha zao kali za kihasarahasara na kuomba urafiki kisha wanakwenda inbox kudanga
 
tofautisha anaetumia mtandao pasipo lengo la kujiuza na anaetumia mitandao kwa ajili ya biashara ya ngono, na tena mitandao yenyewe ni badoo nk
ila wote wanaishi mtaani au??Sasa ukisema aachane na malaya wa mtandaon aende kutafuta madem wazuri mtaan anaweza akakutana nao hao hao ila wakikutana mtaan mbaya zaidi hawatamwambia biashara yao..watamuektia ni watu wa kanisan mwisho wa siku atawagharamia mara×10 ya angekutana nao mtandaon
 
Wanajiuza...enzi zangu nasoma chuo walikua wanajiuza jolly..namfahamu mmoja bei ilikua 70,nasikia siku hz ni branch manager bank fulani
 
Ni nafuu hao kuliko mwanaume kupanda dau kwa anaejianika kuuza utupu wake
 
Ni nafuu hao kuliko mwanaume kupanda dau kwa anaejianika kuuza utupu wake
utofauti uko wapi? Maana 90% ya wanawake bongo(And im being generous) wanauza utupu tofauti hawa wanajianika wengine hawajianiki
 
utofauti uko wapi? Maana 90% ya wanawake bongo(And im being generous) wanauza utupu tofauti hawa wanajianika wengine hawajianiki
Utofauti ni huo kujianika na kutojianika umeandika mwenyewe

Itakuwa poa mjadala ukiishia hapa fanyeni kitachowabariki,, Niko bize kwa sasa
 
Utofauti ni huo kujianika na kutojianika umeandika mwenyewe

Itakuwa poa mjadala ukiishia hapa fanyeni kitachowabariki,, Niko bize kwa sasa
Ni sawa na upewe sumu mbili uchague
Moja ina Label(Poison) Nyingine ina label(Savvana)

At the end of the day zote ni sumu na utakufaa..So sioni mantiki ya kumkejeli atakayechukua yenye lebo ya (poison)
 
Priyanka Chopra??Kaanza lin kuigiza porn?
Una link?
 
Hawapo kabisa, yaani ukifanyika msako wa kuwakamata hao wanaosema ni wanachuo ndiyo utajua ni majanga. Hakuna mwanachuo msichana anayeweza kujiuza, maan background za wasichana wengi si za kujiuza

Kwenye mitandao wapo wengi tu tinder na badoo hawasemi kama wanajiuza ila ukiwatongoza atakuambia umpe bei flani then mnakutana unamla mimi nawajua wengi tu toka chuo cha ifm na udsm
 
Ni sawa na upewe sumu mbili uchague
Moja ina Label(Poison) Nyingine ina label(Savvana)

At the end of the day zote ni sumu na utakufaa..So sioni mantiki ya kumkejeli atakayechukua yenye lebo ya (poison)
Binadamu hatufanani mtizamo weka hiyo kichwani kwako
 
Wanatetea bure tu kwani hata pale baa ya 5n mcity pamejaa wanafunzi wa chuo ukimnunulia bia mbili tatu unaenda nae na unamlipa sasa huyo siyo malaya? Tena hakuna haja ya kwenda club kwenye mitandao ya badoo na tinder wamejaa wanafunzi wengi sana wa vyuo wanakataa tu hapa.
 
Kwani ukizioona nanii zao huwa zina degree! Au zimesoma au ni za kawaida wa shule za msingi

Nimekutana nazo nyingi zinakuwa na stress za tests za cost accounting na unapiga nao story hadi za malecturer ninaowajua hapo chuo wanawajua vizuri mtu anakuambia eti siyo wanafunzi. Mimi nikikuambia ni wanachuo trust me ihave done my homework nimewala wengi tu kwenye mitandao toka vyuo vyote vikubwa vya dar hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…