Junior Nicky
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 608
- 590
Nenda kwenye site za wakubwa utajionea hilo mkuu....Fanya tafiti mkuu then utanipa jibu.
Hapo kwa pryanka nakataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwa pryanka nakataa
Jamaa atakuwa alikutandika sana, maana starehe yako ilikuwa borooo tuMh... Company yangu ilikua ya wasongo... Maana sikua naenda club Wala msikitini Wala sikua nakunywa pombe...ilikua Mimi nabf wangu na kusoma...TU
tofautisha anaetumia mtandao pasipo lengo la kujiuza na anaetumia mitandao kwa ajili ya biashara ya ngono, na tena mitandao yenyewe ni badoo nkSasa za mtandaon si ndo hizo hizo ziko mtaan
..Au kuna dunia yao tofaut wanaishi wa mtandaon?
WapoSiku hizi ukichati na manzi tinder au badoo utakuta manzi anasema yuko chuo flani, UDSM, IFM, SAUTI n.k. Ajabu ukiomba tunda atakupa bei then namba ya simu then mnakutana eneo la mikasi.
Huwa najiuliza enzi zangu niko chuo mbona sikuwa najua kama wapo wanajiuza ningekuwa nawapata kiurahisi kuliko ninavyowapata sasa hv nikiwa siko chuoni.
Halafu unakuta kuna masela pale chuoni wanateseka kula kwa macho tu.
Kweli kabisa. Wapo wengi wa aina hii, hata Facebook wamejaa sana. Wanaweka picha zao kali za kihasarahasara na kuomba urafiki kisha wanakwenda inbox kudangaMbinu ya kujiuza mitaani inatumiwa na wadada local local wasioenda shule. Ni mbinu ngumu, yenye changamoto nyingi na ya kidhalilishaji. So siku hizi mbinu inayotumika na pisi kali za chuo ni kuanzisha mahusiano na wanaume wengi halafu anakua anavuta mpunga kwa kila mwanaume kwa kadri ya uwezo wake. Hii imerahisishwa na mitandao hasa instagram ambapo demu ana display picha zake nzuri, then anatulia zake. Wanaume wakimtongoza anawa rank kwa kuangalia "potential" ya kila mmoja na wale anaoona wanalipa anawakubali. Kwa kufanya hivyo anakua na uhakika wa kutolewa outing kila anapotaka, kutumiwa hela za vocha, material, kula, salon, nk kiasi apendacho, kulipiwa "kiasi cha ada alichopungukiwa", vijizawadi kama simu kali, shopping nk. Wengi wa wadada wanaojiuza kwa aina hii ni ngumu kuwashtukia kwani hua hawapendi kuishi hostel, wao hupanga nje ya vyuo. Kama ikitokea anaishi hostel, basi hua anaweza "kupotea" ghafla unashangaa anarudi baada ya siku 2 au 3 na kamwe hakubali mwanaume amfuate hostel.
ila wote wanaishi mtaani au??Sasa ukisema aachane na malaya wa mtandaon aende kutafuta madem wazuri mtaan anaweza akakutana nao hao hao ila wakikutana mtaan mbaya zaidi hawatamwambia biashara yao..watamuektia ni watu wa kanisan mwisho wa siku atawagharamia mara×10 ya angekutana nao mtandaontofautisha anaetumia mtandao pasipo lengo la kujiuza na anaetumia mitandao kwa ajili ya biashara ya ngono, na tena mitandao yenyewe ni badoo nk
Wanajiuza...enzi zangu nasoma chuo walikua wanajiuza jolly..namfahamu mmoja bei ilikua 70,nasikia siku hz ni branch manager bank fulaniKuna jamaa yangu aliniambia hapa dar kuna machimbo wanachuo huendaga kujiuzia yako sinza,tabata nk. nk.
Sasa cha ajabu mwenyewe nimesoma chuo ila sijawahi sikia wanachuo wanaojiuza.
Maybe kwasababu UD ni chuo kikubwa kwahyo watu hawajuani inakuwa rahisi kujiuza(im thinkn out loud)
Lakin bado siamin kama wanachuo huwa wanajiuza kama inavyoaminika mtaani
mtaani kuna story eti wakimaliza boom wanaendaga kujipanga kama nyanya
mimi niliwaona hadi wanashindia mihogo na maembe ila sikuona wakijiuza sasa bado sielew hii dhana ni kweli au uzushi watu wakiona bidada club ameweka wigi,kucha ndefu,makeup kwa sana wanaassume ni mwanachuo.
This is my connundrum
Ni nafuu hao kuliko mwanaume kupanda dau kwa anaejianika kuuza utupu wakeila wote wanaishi mtaani au??Sasa ukisema aachane na malaya wa mtandaon aende kutafuta madem wazuri mtaan anaweza akakutana nao hao hao ila wakikutana mtaan mbaya zaidi hawatamwambia biashara yao..watamuektia ni watu wa kanisan mwisho wa siku atawagharamia mara×10 ya angekutana nao mtandaon
utofauti uko wapi? Maana 90% ya wanawake bongo(And im being generous) wanauza utupu tofauti hawa wanajianika wengine hawajianikiNi nafuu hao kuliko mwanaume kupanda dau kwa anaejianika kuuza utupu wake
Utofauti ni huo kujianika na kutojianika umeandika mwenyeweutofauti uko wapi? Maana 90% ya wanawake bongo(And im being generous) wanauza utupu tofauti hawa wanajianika wengine hawajianiki
Ni sawa na upewe sumu mbili uchagueUtofauti ni huo kujianika na kutojianika umeandika mwenyewe
Itakuwa poa mjadala ukiishia hapa fanyeni kitachowabariki,, Niko bize kwa sasa
Kusema ya kuwa mwanamke/msichana anayesoma chuo hawezi kujiuza mi nakataa....Tukiachana na mtizamo huo...kujiuza kwa mwanamke kunabakia kuwa ni hulka na tabia yake binafsi....Wanawake wangapi wana kazi za kuwapatia kipato lkn wanajiuza ama wanaigiza picha za ngono.
Mfano m'dada Pryanka Chopra ni mwanamke mzuri lakini pia ni muigizaji wa filamu za kihindi ila leo hii yeye ni muigizaji wa filamu za Ngono.
Kwa upande wangu,wapo wanachuo wenye kufanya kila aina ya starehe hata hiyo biashara ya kujiuza kwa baadhi yao wanaifanya ila kwa kificho na umakini wa hali ya juu.Tsiwakatalie kwenye hilo kwa kuwaamini kuwa wao kutokana na usomi wao pamoja na mazingira waliyotokea basi hawawezi fanya uharamu huo...ilihali hao hao wasomi wetu tulionao kutokana na elimu zao wanafanya mambo ya ajabu kushinda hata yule aliyeishia kidato cha nne
Hawapo kabisa, yaani ukifanyika msako wa kuwakamata hao wanaosema ni wanachuo ndiyo utajua ni majanga. Hakuna mwanachuo msichana anayeweza kujiuza, maan background za wasichana wengi si za kujiuza
Binadamu hatufanani mtizamo weka hiyo kichwani kwakoNi sawa na upewe sumu mbili uchague
Moja ina Label(Poison) Nyingine ina label(Savvana)
At the end of the day zote ni sumu na utakufaa..So sioni mantiki ya kumkejeli atakayechukua yenye lebo ya (poison)
Sawa...lakini pia haimaainishi mitazamo haibadilikiBinadamu hatufanani mtizamo weka hiyo kichwani kwako
Wachangiaji huu uzi asilimia kubwa mumeniangusha sana. Hasa wanaume. .
Yaani mnaakili kweli??! Eti mnakaa kabisa kutetea wadangaji hawawez kua wanachuo. Comoooon men. What's so special about chuo?? Tell me.
Kudanga ni tamaaa tu. Unataka pesa ya ziada baasi. Na mtu yoyote awe wa chuo awe mke wako anaweza kudanga.
Tena ukitaka kujua wanafunz wachuo wanadanga weka urafik na madereva taxi na uber. Utapewa number bila shida za wanachuo.
Eti wanafunz wachuo hawadangi.
Vyuo vyenyewe ndio huu utitir wa degree za chupi.
Mimi kuna mshikaji kipindi nilitaka number ya watoto wachuo yeye ni Uber anapaki maeneo ya chuo kabisa. Ananiuliza unataka number ya bonge English figure fupi au tukununyema.
Kwani ukizioona nanii zao huwa zina degree! Au zimesoma au ni za kawaida wa shule za msingi