Hivi ni kweli hawa wanaojiuza mtandaoni ni wanachuo kweli au wanajikweza?

Sio wanachuo hao, Wanatumia hiyo status kuvuta maboya.

Wanachuo, hawauzi reja reja hivo, Ila wanadanga tu kwa wale wanao shoboka nao, Ukimu approach hakatai hata kama haja kuelewa, anakupa bills tu show unakula kwa mbine ika bills za mwendokasi then utajua wewe usuke au unyoe
 
Na kila mwanaJf, alishapitia chuo😁🤣😃
 
Hao ni Malaya wa mtaani tu,watoto wa chuo soko lao kubwa sana yaani kuanzia anaosoma nao watu wana pesa za matumizi vizuri tu hasa wafanyakazi na wafanya biashara na tulikuwa tunabembeleza kwelikweli na pesa zetu na bado wengine tulitafuna na wengine tuliambulia patupu.Sasa hapo bado wanafunzi wa kozi zingine,bado anao ishi nao mtaani,Bado wafanya biashara wa mtaani kwake,Bado kule mkoani kwao kuna mtu anagharamia kwelikweli ndio akajianike tinder huo ni uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…