Eleminator
JF-Expert Member
- Sep 29, 2022
- 597
- 975
Oya wazee mbon inakuja mamb yakulipia lipia tena asee hakuna premium ApkWe download alafu jiunge ujilie vitu
Ila angalau tinder unaweza kupata mwanamke decent huko badoo ndo balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya wazee mbon inakuja mamb yakulipia lipia tena asee hakuna premium ApkWe download alafu jiunge ujilie vitu
Ila angalau tinder unaweza kupata mwanamke decent huko badoo ndo balaa
Kama ni tinder kuna limit ya kuswipe kwa siku ila baada ya masaa 12 unaweza kuswipe tenaOya wazee mbon inakuja mamb yakulipia lipia tena asee hakuna premium Apk
Yaan ni iv nikitaka kuchart na mtoto mzur wanleta tamaa ya pesa😄Kama ni tinder kuna limit ya kuswipe kwa siku ila baada ya masaa 12 unaweza kuswipe tena
Na kila mwanaJf, alishapitia chuo😁🤣😃Siku hizi ukichati na manzi tinder au badoo utakuta manzi anasema yuko chuo flani, UDSM, IFM, SAUTI n.k. Ajabu ukiomba tunda atakupa bei then namba ya simu then mnakutana eneo la mikasi.
Huwa najiuliza enzi zangu niko chuo mbona sikuwa najua kama wapo wanajiuza ningekuwa nawapata kiurahisi kuliko ninavyowapata sasa hv nikiwa siko chuoni.
Halafu unakuta kuna masela pale chuoni wanateseka kula kwa macho tu.