Elections 2010 Hivi ni kweli hawa wanaota ndoto?

TandaleOne

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2010
Posts
1,644
Reaction score
709
1 kati ya kila shilingi 5 Tanzania imewekezwa katika elimu huku Tanzania ikiwa na mapinduzi makubwa katika sekta ya elimu.

Chama Cha Mapinduzi kilishinda kwa zaidi ya asilimia 70 katika chaguzi za serikali za mitaa miezi michache nyuma.

Je,wadhaniao CCM itashindwa wanaota ndoto kiasi gani?Ni za Mchana au za kweli za usiku?Muda utasema.
 
Mavi ya kale hayanuki. Michanganuo ya chaguzi za zamani haitusaidii kwa lolote na ndiyo maana tutafanya uchaguzi sasa vinginevyo CCM tungeitawaza tu kuwa mshindi lakini utamaduni wa kidemokrasia upo wazi kwenye hilo. Open your eyes, old boy!
 
I am a public policy analyst based in Arusha, Tanzania
Mr Rutashubanyuma wewe mchambuzi gani wa kisiasa na sera ambaye hujui hata misingi ya kujadili kwa misingi ya hoja wewe unaongelea hisia zako za kisiasa mbona uu mjinga mpaka umepitiliza kiwango cha ujinga cha kawaida?...............wewe hujui kuwa CCM imeshinda kwa kishindo ule uchaguzi wa serikali za mitaa?............hutaki historia?..................au unadhani kuwa mchambuzi wa kisiasa ni kutetea CHADEMA? badilika fumbuka pambazuka acha ujinga jadili vitu kwa hoja na mantiki.
 


Nashukuru
 

madrassa al sul
 
Mavi ya kale hayanuki. Michanganuo ya chaguzi za zamani haitusaidii kwa lolote na ndiyo maana tutafanya uchaguzi sasa vinginevyo CCM tungeitawaza tu kuwa mshindi lakini utamaduni wa kidemokrasia upo wazi kwenye hilo. Open your eyes, old boy!

Less than a year ago.:llama:
 
ndio maana iddy azan anaishi karibu na mtaro wa maji machafu, mzee wa tandale sisiemu sio wema, ile miti ya mlimani city imewekwa picha za sisiemu yote imeanza kufa maskini nawe jiandae kuwa kama ile miti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…