hivi ni kweli hawa wazungu wa udsm....ni kweli wametoka makwao kuja kusoma hiki chuo

hivi ni kweli hawa wazungu wa udsm....ni kweli wametoka makwao kuja kusoma hiki chuo

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
habali wanajf,kwa wale wafanyakazi,wapita njia,wanafunzi wa udsm...hapa chuoni nimekuwa nikiwaona baadhi ya wazungu wakizungukazunguka maeneo ya chuo wengine wakionekana ma class wakipiga mapindi....

hivi swali ambalo najiuliza hivi mzungu anaweza akaamuaa kuacha kusoma kwao vyuo vya ukweli kama harvard,oxford ,aje kusoma tanzania ...tena chuo udsm....au wana lao jambo wanalitafuta....hapa maana isije siku watu wakajitoa muhanga...
 
hao wazungu wapo fo short periods,k2 kama summer school,hua ni 1st semita school then wanarud makwao,hawasomi barchelors hao
 
Hao huwa wanasoma kozi zitakazowaongezea cv tu. Hata muhas enzi hizo tulikuwa tunakuwa nao sana wodini. Akipata cheti cha African paediatric and child health ni sifa ya kumuongezea cv. Wapo hata manesi wanasoma miezi michache wanakula kona. Na ukiangalia huwa wanakuja huku kipindi ambacho kwao ni baridi sana.
 
Halafu wewe...! sio wazungu wote wana sifa za kusoma vyuo vya Havard au Oxford! au unadhani hivyo vyuo vinachukua intakes ilimradi ni wazungu? thubutuuuu...
 
Kuna mmoja tulimuulza kama amekuja kusoma au yupo picnic akachukia sana.... Akasema elimu U.S.A ni expensive sana..
 
Tena wengi wanapenda kule enzi zetu kulikuwa kunaitwa FPA (Fine and Performing Arts) hasa wa kutoka scandinavian countries, tulikuwa tukitaka kula kitoto cha kizungu basi semester moja una opt course kule, unaachia na manywele na mandevu ndo unaonekana real African, lazma uopoe kimoja kiulaiini
 
Kutembea ni elimu. Wengine wanataka kuona maisha, lugha na tamaduni tofauti.
 
habali wanajf,kwa wale wafanyakazi,wapita njia,wanafunzi wa udsm...hapa chuoni nimekuwa nikiwaona baadhi ya wazungu wakizungukazunguka maeneo ya chuo wengine wakionekana ma class wakipiga mapindi....

hivi swali ambalo najiuliza hivi mzungu anaweza akaamuaa kuacha kusoma kwao vyuo vya ukweli kama harvard,oxford ,aje kusoma tanzania ...tena chuo udsm....au wana lao jambo wanalitafuta....hapa maana isije siku watu wakajitoa muhanga...

Kama ungejua kusoma ni nini, ungejua kwanini wazungu wamekuja kusoma huko na kuacha kwao.

Yaonesha wewe haujui nini maana ya kusoma ama kujifunza.

Wao wamekuja kuwasoma watanzania, ili waweze kuwasomesha watanzania.
Pengine wamekuja kufanya reserching.
Kuwasoma watanzania wanafundishaje.
Au wanafundisha nini

Na vile vile wanakuja kufyatua masomo ya kizamani na ya kikoloni.
kutoa mabuvu kuweka mazuri
kutoa ya kizamani kuweka ya kisasa
kuweka haki za elim, haki za mwanafunzi
kufuta uonevu na kuweka haki njema

wazungu akili zao sio za kimaskini kama za watanzani.
mtanzania akiwa juu hataki kwenda chini japo kusalimia.
wazungu wengi wanakuja kusaidia, na kuweka haki za binadam

Na wazungu wanaokuja kusoma Afrika mara nyingi sana wanatokea kwenye family za kirodi.
family za kitajiri ama zenye elim ndefu.
Na wazungu wanao kuja afrika wapo very interigent.
 
hongera sana C PROGRAMING natambua tabu ulizokutana nazo kipindi chote cha UE
 
ok sawa nimekuelewaaaaaaa
 
Somoe, unaweza kutoa point bila kukandamiza waafrika. Si kila mzungu umuonae ni "interigent".

Anyways, C programming, kwanza si wazungu wote wanaoweza kuenda Harvard wala Oxford. Kwa asilimia kubwa ya population hiyo ni ndoto tu.

Vyuo vingi ughaibuni vina exchange program, yaani unachukua semester moja unaenda nchi ya nje kusomea huku ukijipatia credit kwenye somo fulani. Hii inasaidia kukupa exposure na nchi/utamaduni wa watu wengine, na pia inakupa kitu cha kukutofautisha na wengine kupitia CV.

Mfano classmates wooote mgekuwa na qualifications sawa kwenye CV lakini wewe ukawa una semester moja angalau Kenya, Uganda au Msumbiji kidogo inakufanya u-stand out. Kwahiyo kama una uwezo wa kusafiri au kusomea nje, japo kwa semester moja ningekushauri ufanye.
 
Last edited by a moderator:
Inavoonekana una dharau sana chuo cha udsm kwa sababu zako binafsi talk about facts;kimataifa udsm kinatambulika so wewe unashangaa wazungu je ;wa south african zimbabwean kenyan; acha kukalili
 
Siamini kama thread hii imeanzishwa na mwanafunzi wa University level, kama huyu mtu ni University level basi nchi hii tumeliwa, niko tayari kumsikiliza na kumuelewa standard seven Graduate kuliko msomi magumashi kama huyu ambaye hajui hata kama kuna kitu kinaitwa Student exchange scheme.

Na inawezekana huyu Kilaza hajawahi kufika Tanganyika International school masaki.
 
Back
Top Bottom