habali wanajf,kwa wale wafanyakazi,wapita njia,wanafunzi wa udsm...hapa chuoni nimekuwa nikiwaona baadhi ya wazungu wakizungukazunguka maeneo ya chuo wengine wakionekana ma class wakipiga mapindi....
hivi swali ambalo najiuliza hivi mzungu anaweza akaamuaa kuacha kusoma kwao vyuo vya ukweli kama harvard,oxford ,aje kusoma tanzania ...tena chuo udsm....au wana lao jambo wanalitafuta....hapa maana isije siku watu wakajitoa muhanga...
Kama ungejua kusoma ni nini, ungejua kwanini wazungu wamekuja kusoma huko na kuacha kwao.
Yaonesha wewe haujui nini maana ya kusoma ama kujifunza.
Wao wamekuja kuwasoma watanzania, ili waweze kuwasomesha watanzania.
Pengine wamekuja kufanya reserching.
Kuwasoma watanzania wanafundishaje.
Au wanafundisha nini
Na vile vile wanakuja kufyatua masomo ya kizamani na ya kikoloni.
kutoa mabuvu kuweka mazuri
kutoa ya kizamani kuweka ya kisasa
kuweka haki za elim, haki za mwanafunzi
kufuta uonevu na kuweka haki njema
wazungu akili zao sio za kimaskini kama za watanzani.
mtanzania akiwa juu hataki kwenda chini japo kusalimia.
wazungu wengi wanakuja kusaidia, na kuweka haki za binadam
Na wazungu wanaokuja kusoma Afrika mara nyingi sana wanatokea kwenye family za kirodi.
family za kitajiri ama zenye elim ndefu.
Na wazungu wanao kuja afrika wapo very interigent.