Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Kama hii issue iko serious kwa vyuo kama ud na vingine basi sio poa AseehPoleni sana wanafunzi
Manafunzi ya sikuizi majinga tu yote yako CCMWanafunzi wamepewa kama 370..k na wamesema hii imeanza last year semester kama hii. Nguvu ya kugoma hawana maana hata hali zao pia ni tete
Wamekatwa ngapi hapa.?SAUT WANA 510000
Hakuna wa kwenda yote CCMIngieni rev square!
Vijana mnakuwa kama watoto
Hawajakatwa wameongezewa Elfu 5Wamekatwa ngapi hapa.?
Si nimeona Uzi wako wa kulalamika kuhusu boom,,, Pole lkn mkuuKwani mimi mwanachuo[emoji16]?
Hapo ni 40k+SAUT WANA 510000
Aisee wengine huku bado hata sms ya crdb.Ndo nasikia eti wanakata aisee!Wadau nasikia kuna baadhi ya vyuo wamepunguziwa boom lao la mwsho kwa semester hii, hizi habari ni za kweli? Kama ni kweli hizi pesa zinazokatwa na bodi kwenye booms za wanafunzi huwa zinapelekwa wapi au wanapiga tu hawa waliopewa dhamana pale HESLB.
Siku 44Hiyo 370k kwa mda gani?