The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
umecheki wapi?Nimecheki leo Yani ni zero 0.00.
Wiki mbili zilizopita ilikuwa 1500.
Kwa hiyo nimepoteza 5million USD nilizo wekeza.
Dogo hiyo ni peanut. Nikikuonesha zingine si utashikwa na cardiac arrest.Kumbe tunapishana na matajiri humu 5M USD!?
Millard ayoumecheki wapi?
😃😃😃Kumbe tunapishana na matajiri humu 5M USD!?
Ni hela ya kawaida japo mimi sina.Dogo hiyo ni peanut. Nikikuonesha zingine si utashikwa na cardiac arrest.
😃😃😃Ni hela ya kawaida japo mimi sina.
Nilikua nampa bichwa na yeye kajaa! 😂
Utajuaje kina Mongolian Savage ndio kina Mo ,na matajiri kadhaa apo mjini daslamu 😅Kumbe tunapishana na matajiri humu 5M USD!.
Kawaida tu ila na consult hapa jopo la mafinancial advisers wangu kutoka price water coopers na Ernest and young which step to take next.Yaani hela zote hizo alafu uko sawa hauna pressure umetupanga mkuu
Yaani umemjaza mwenzio halafu umemtelekeza 😀😀😀😀Ni hela ya kawaida japo mimi sina.
Bil 13 kama sijakosema, halafu Kuna mmoja hapo juu anasema ni pesa ya kawaidaYaani hela zote hizo alafu uko sawa hauna pressure umetupanga mkuu
basi itakua kweli hiyo ni source ya maana kabisa🤣🤣Millard ayo
Hahaha acha vituko weweebasi itakua kweli hiyo ni source ya maana kabisa🤣🤣