Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Alifanyaje?Kimei tu ndo alikuwa CEO wa pekee CRDB
Alifanyaje?Kimei tu ndo alikuwa CEO wa pekee CRDB
Na vipi ikiwa ndio akika Mwashamba,ama Chiembe ama Tlatlaah?Utajuaje kina Mongolian Savage ndio kina Mo ,na matajiri kadhaa apo mjini daslamu 😅
Ni pesa ya kawaida! Sisi wabongo wengi ni njaa ndio maana tunaiona kubwa.
Siwafahamu watu hao brazaNa vipi ikiwa ndio akika Mwashamba,ama Chiembe ama Tlatlaah?
😀Dogo hiyo ni peanut. Nikikuonesha zingine si utashikwa na cardiac arrest.
Hayo ni mabilioni Sema mabilioniKumbe tunapishana na matajiri humu 5M USD!.