Hivi ni kweli hisa za CRDB zimeshuka hivi

Nilishasema humu katika vitu ambavyo havina faida ktk maisha ya kitanzania ni kusoma vitabu, hisa na bondi uko ni kupoteza muda na ni ngumu sana kuendesha maisha kwa kutegemea hisa

Nchi za wenzetu hisa/ bond zinaendesha maisha ya watu na watu wanaishi kwa kutegemea hisa na bond

Mimi nina hisa za shiling 900,000 za CRDB mwaka 2005 leo hii zina thamani shiling milion 7
Na huwa natumiwa gawiwo la 370,000- 500,000 inategemeana
Kwa ufupi hisa ni kupoteza muda na km una pesa ni bora ufanye biashara kulko kununua hisa / bond
 
Kuna jamaa ana uzi wake humu aliweka hisa ya 60+M CRDB πŸ˜‚
Sijui ana hali gani


πŸ‘‡
 
Moderator Fang kwann mnaruhusu misinformation kama hii? Binafsi nimepata mshtuko wa moyo mkubwa kutokana na taarifa hii ila baada ya kuja kufuatilia nimegundua ni uongo. Kwann acheze na maisha ya watu kiasi hiki? Anataka wazee tufe ili arithi mali wakat hata hatuna udugu nae? Kwan tumemchukulia kibinti chake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…