Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Adolf ni jina LA kimakuwa ndio maana halitumiki Ujeremani
bado linatumika sana.
View attachment 183504
Kuna connection yoyote ya swali langu na hii ramani yako?
mtawanyiko wa matumizi ya jina adolf nchini ujerumani as of 1998
Unaamini kabisa umejibu kile ninachohitaji kujuwa?
nadhani unataka kujua kuwa baada ya 1944 kama kuna watoto waliopewa jina la adolf huko udachi, hiyo ramani inaonesha watoto wenye majina ya adolf waliozaliwa 1998. au sijakuelewa vizuri Matola ?