Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwakweli jambo hili nimelisikia kutoka kwa mtu ambaye sina shaka na upeo wake kwamba tangu utawala wa Hitler kuangangushwa nchini Ujerumani watoto waliozaliwa na wanaoendelea kuzaliwa mpaka leo hakuna mtoto aliyezaliwa na kupewa jina la Adolph je kuna ukweli wowote juu ya hili?
