Hivi ni kweli juu ya hili?

Gibrielly

Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
23
Reaction score
1
Katika sekta ya elimu kuna tetesi kuwa walimu wengi hususan wanaume ni mabishoo dat means wakipiga pindi class mifano mingi siyo ya kuelimisha bali ni ya kuwapotosha wanafunzi! Na kufanya wanafunzi wasifikirie kile wanachojifunza nakuwaza inshu nyingine kama kukrame ticha asemacho !
Wana jf mnasemaje juu ya hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…