Rayamikhal
Senior Member
- Sep 14, 2026
- 110
- 207
Jambo! Zimekuwepo Mambo mengi Tanzania wakisema kuwa Kenya hawawezi kuwa kama wao. Kimaendeleo, kimichezo, kiuchumi na kiutalii. Kwamba Tanzania wamevunja rekodi ya international miss Grand kwa Mara ya kwanza Africa na Kenya mlikuwa mnazubaa. Pia Kenya lugha yenu mama ni Kingereza Ila mko mnafanya kiswahili kama lugha yenu wakati hata hamkomnakiongea vizuri! Mambo ni mengi yako wanaongea watanzania kilasiku kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. Sasa nyie kama wakenya mko na point gani za kukanusha madai yao?