Hivi ni kweli kila ziwa (lake) duniani lina species za samaki wake ambao huwezi kupata popote duniani ?

Hivi ni kweli kila ziwa (lake) duniani lina species za samaki wake ambao huwezi kupata popote duniani ?

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Naomba kujuzwa wanasayansi na watafiti waboɓezi.

Mfano: Sato, sangara na yule mwingine mrefu kama nyoka (mumy) wanapatikana ziwa Victoria tuu,

Hivi kweli lake nyasa na lake Tanganyika wanapatikana migebuka tu na species nyingine.

Mfano Kenya kuna lake turkana inamaana huwezi kupata sampuli ya sato sangara au hata migebuka ?

Sasa katika jamii mbali mbali duniani na maziwa yoye ina maana kila ziwa lina species zake, Je huwezi kwenda marekani au Brazil huko ukatutana na species inayofanana na sato au sangara.

Licha ya kwamba sijui, ila kama duniani kote sato na sangara unawapata ziwa Victoria peke yake basi hii nchi tulitakiwa kuwa mbali sana katika nyanja za uchumi.

Nawasilisha, Swali lingine lipo next post.
 
Back
Top Bottom