Mwendabure
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,138
- 1,044

Sipotezi watu na wala sio lengo la jukwaa hili, isipokuwa labda mimi na wewe tunatumia Dictionary tofauti.

Mkuu kubali kushindwa! Usituharibie!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Sipotezi watu na wala sio lengo la jukwaa hili, isipokuwa labda mimi na wewe tunatumia Dictionary tofauti.

Si lazima kuwa na tafsiri ya neno kwa neno ili kulinganisha Kiswahili na Kiingereza. Hebu wataalamu wa sarufi wa lugha zote waje hapa kutujuza
Nami nakubaliana na hili, mara nyingi utata unajitokeza wakati wa kutafsiri maneno,hasa kwa kutafsiri neno kwa neno...Tukirudi kwenye mada.Future inategemea unataka kusema nini,kuna wakati neno baadaye linakuwa ndio mahala pake na kuna wakati mustakabali ,kwa mfano.

Swadakta mkuu! Na hilo ndilo kosa kubwa tunalofanya ktk kutafsiri lugha. Na tukumbuke huwezi kutafsiri lugha moja kwa nyingine bila kuzijua lugha zote kwa ufasaha wake. Vinginevyo itakuwa ni upotoshaji mkubwa.

mbeleni ni matusi
Ni nini Muelekeo wa Taifa letu mikononi mwa CCMNami nakubaliana na hili, mara nyingi utata unajitokeza wakati wa kutafsiri maneno,hasa kwa kutafsiri neno kwa neno...Tukirudi kwenye mada.Future inategemea unataka kusema nini,kuna wakati neno baadaye linakuwa ndio mahala pake na kuna wakati mustakabali ,kwa mfano.
1) Ni nini MUSTAKABALI wa Taifa letu mikononi mwa CCM.
2) Tukiendelea na kilimo cha kutegemea mvua maisha yetu ya BAADAYE yatakuja kuwa magumu sana.
sasa kiingereza cha wapi hiko?
naona jifunze kingereza kwanza....
Nini MUSTAKABALI wa Taifa letu ni sawa nakusema,..Hatima ya Taifa letu kwa siku za usoni ni nini?Ni nini Muelekeo wa Taifa letu mikononi mwa CCM
Mfano Kiswahili: wawakilishi kutoka nchi zaidi ya mia moja na themanini, wanakutana kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa, kujadili mustakabali wa mkataba uliosaniwa miaka 35 iliyopita, kudhibiti kusambaa kwa teknolojia ya silaha za kinuklia
English Example: representatives from more than 180 countries are meeting at the UN headquarters to discuss the future of the treaty forged 35 years ago controlling the spread of nuclear weapons technology [BBC 2 Mei 2005]
Mfano Kiswahili: Bondia David Haye ameambia BBC kuwa atafanya uamuzi juu ya mustakabali wake katika ndondi wiki chache zijazo
BBC Kiswahili
English Example: David Haye has told the BBC he will make a decision on his boxing future in the next few weeks
BBC English
hatima (derived From Arabic: hatima [خاتمة], hitimu)
Kiswahili: Uachishwaji, Kikomo, Hatima, Ukomeshaji, Ukomo, Kilembwa, Uachishaji, timizia, maliza, -sakata, -ishia, -kwisha, Rakibisha, -rekibisha, –timiza, -likiza, -maliza, Isha, –hitimu, -gota, -akidi,
English: adverb: finally, finish, afterwards, later, then
noun: end, Finish, conclusion, conjuction, termination, conjunction After, Hatima, Afterwards, Later, Then,
Ni kweli huyasemayo, hata hivyo tumeacha kutumia maneno mengi au tumeyabadilisha jinsi ya utamkaji na hii inatokana na maingiliano ya watu toka lugha za Makabila (Kibantu) mbalimbali.Naona maneno mengi tumetohoa kwa waarabu ina maana mswahili ni rahisi sana kujifunza kiarabu kuliko kiingerea

Jamani ndugu wachangiaji hili ni jukwaa la kiswahili ila sasa nimeona wachangiaji wameandika maneno kiingereza. Mfano:-

Assume - Sadiki, ona, jifanya

Future - Baadaye, takaokuja, wakati ujao

Logic - Mantiki

English - Kiingereza

Why - Kwanini?

Dictionary - Kamusi

Sympathy, take it easy - Pole