Mambaenock
JF-Expert Member
- Aug 7, 2013
- 427
- 107
Wana jf naomba tujadili hili suala kwa kina nimekuwa nikisikia kuwa vyuo vikuu vya private vinawanyanyasa sana wanafunzi wao kupata stahiki zao
hasahasa pesa zao walizokopeshwa na bodi ya mikopo kwa kucheleweshwa kupewa wahusika wakuu au kunyimwa kabisa mfano pesa za field .!
je na vyuo vya serikali hali ni hiyo?
nawasilisha.
mkuu hata gvmnt kuna utata wake! Hili suala linategemea serikali ya wanafunzi iliyopo madarakani ina power kiasi gani? Over
vyuo vya gvnt n fasta 2 unakula pesa yako
vyuo vya gvnt n fasta 2 unakula pesa yako
Eti hata oil ambaye hajui tofauti ya BAed naBed anakwambia gvnt n fasta.we huwa hupitwi?
govt si fasta hata kdogo, huwa wanaizungusha kwanza
kweli jamani watu wa TEKU niko nao hapa wananambia hawajapata hela yao ya field na field karibu iniisha!
source; wanachuo wa teku mbeya!
kama ni mfuko kwa wanafunzi wa vyuo vikuu wa Tanzania, basi inatakiwa wote wapate kwa wakati na pengine vyuo vikuu viwe na calendar zake hapo loan board na desk la mtu kama focal person kwa hivi vyuo vikuu; vinginevyo itaendelea kuwa kiinimacho na danganya toto, kwani mtu anahangaika kweli hadi kufikia maamuzi yasiyosawa (hasa kwa watoto wa kike) kutokana na ugumu tu wa kuishi chuoni.
vyuo vya gvnt n fasta 2 unakula pesa yako
we dogo umesh@som@ university ipi wewe!? K@@ kimy@ ujui kitu un@t@k@ ufit fit tu huku uwezo wko w@ kufikiri ni mdogo, wewe mw@limu wewe ni mjing@ s@n@...