Hivi ni kweli kuhusu vyuo vikuu vya private......!!!!!

mkuu hata gvmnt kuna utata wake! Hili suala linategemea serikali ya wanafunzi iliyopo madarakani ina power kiasi gani? Over

point hiyo mkuu umesomeka......i like that mkuu
 
tatizo hamjui kuwa vyuo vyenu vya private vimejengwa kwa mikopo kutoka benki,kwa hiyo wanachofanya ni kucompensate hiyo kwa wanafunzi wao, la sivyo wataporwa majengo yao,u are welcome 2 UDSM,hela ya field nimepewa kabla ya UE
 
kweli jamani watu wa TEKU niko nao hapa wananambia hawajapata hela yao ya field na field karibu iniisha!
source; wanachuo wa teku mbeya!

hao wanamatatzo yao binafsi, mi hela yangu niliipata kabla field haijaanza. Pengine hata hawakusaini.
 
tatizo hamjui kuwa vyuo vyenu vya private vimejengwa kwa mikopo kutoka benki,kwa hiyo wanachofanya ni kucompensate hiyo kwa wanafunzi wao, la sivyo wataporwa majengo yao,u are welcome 2 UDSM,hela ya field nimepewa kabla ya UE

nitajuta mpaka namaliza chuo
 
tatizo hamjui kuwa vyuo vyenu vya private vimejengwa kwa mikopo kutoka benki,kwa hiyo wanachofanya ni kucompensate hiyo kwa wanafunzi wao, la sivyo wataporwa majengo yao,u are welcome 2 UDSM,hela ya field nimepewa kabla ya UE

we jamaa waajabu kweli wewe, kumbe kiburi chote ni kwasababu unasoma UDSM? Hivi ni kweli wanafunzi wote wa elimu ya juu wanaweza kusoma UDSM na vyuo vingne vya serikali? Au ulitaka tujue kuwa unasoma UDSM? Hii inaonyesha bado ubongo wako bado mgando.

Acha kujidanganya wewe, wewe unasoma UDSM mimi nasoma kwenye hivyo vyuo unavyovidharau lakini hauniambii chochote. Piga msuli wewe, huku mtaani haijalishi umesoma wapi.
 
maandiko yanasema hivi
tushukuru kwa yote
 
we dogo umesh@som@ university ipi wewe!? K@@ kimy@ ujui kitu un@t@k@ ufit fit tu huku uwezo wko w@ kufikiri ni mdogo, wewe mw@limu wewe ni mjing@ s@n@...
Hata kuandika hujui??
Kajifunze kuandika ndio uje tena j.f!!!
 
Hiyo issue ya boom ukweli inategemea nguvu ya uongozi wa wanachuo jamani bila kujali chuo cha serikali au private mf.UDSM fedha ya field imetoka tofauti mwl nyerere na muce kabla ya UE lakini Duce baada ya UE(wanafunzi tukitaka kufanya mgomo ndiyo ikatoka) acheni kudharauliana kwa sababu ya vyuo vijana wenzangu
 
good advice
 
Back
Top Bottom