RC wa mkoa gani mbona hatukufahamumm n RC hata hivyo
Kuna Amos Makala, Makonda wanajulikana wewe ni wa mkoa gani?kumbe kuna alama za RC
Hii kitu imefumbwa sana na wanaojua hii siri wanakula maisha sanaTunapigana kamba tu mkuu!.. wenye akili wanacheza na bongo zetu wanatufanyia vurugu ili tusile raha hapa duniani!. Just imagine unaenda eti kutubu kwa padri ukiamini yeye ni mtakatifu wakati hujui matendo yake!, serious kama unaakili huwezi fanya hivi am telling you.
Hakuna Cha pepo hakuna cha moto isipokuwa ukienda kinyume na nature laws mazingira yatakuadhibu hapahapa hakuna kusubiri.
Roho za wanyama na miti haziendi mbinguni bhana.Sema mbinguni kutakuwa na sehemu kubwa sana ya kuhifadhi vitu vyote vinavyokufa huku duniani mf, watu, miti, ng'ombe, sisimizi, nyoka, mwewe nk.
Lakn mbna tunashuhudia hao wanaoenda against nature wakineemeka ? Mfano mafisadi weng wana maisha ya next levo yaan wanaenjoy maisha to the maxmum,,, how nature deals with such situations?Tunapigana kamba tu mkuu!.. wenye akili wanacheza na bongo zetu wanatufanyia vurugu ili tusile raha hapa duniani!. Just imagine unaenda eti kutubu kwa padri ukiamini yeye ni mtakatifu wakati hujui matendo yake!, serious kama unaakili huwezi fanya hivi am telling you.
Hakuna Cha pepo hakuna cha moto isipokuwa ukienda kinyume na nature laws mazingira yatakuadhibu hapahapa hakuna kusubiri.
Imani tunaishi kwa imani maisha yetu hadi kaburin ni mwendo wa imani tu bila ya kuwa na uhakikaIshi na hii kauli,
"Ni heri kuamini Mungu yupo ili ata kama ukifa na usipate nafasi ya kukutana nae fresh tu inakua imeisha iyo.
Kuliko usiamini Mungu yupo then ukafa ukaenda kumkuta yupo."
"Binafsi naamini kuna maisha ya uzima wa milele, baada ya huu mwili nilionao hapa duniani kufa."
Kwahiyo zenyewe zinaishia wapi mkuu.Roho za wanyama na miti haziendi mbinguni bhana.