love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Ni sehemu ya esoteric knowledge.hivi hizi nguvu za Giza nazo ni miongoni mwa miujiza??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sehemu ya esoteric knowledge.hivi hizi nguvu za Giza nazo ni miongoni mwa miujiza??
Ukifa hujui Kama unekufa una-transform na kuingia katika ulimwengu mwingine.
Uhakika ni kuwa Maisha baada ya kifo yapo Ila yapoje hakuna ajuaye.
Ni ishu ya ku-transformation
Acha kula wala kunywa kwa mwezi mmoja maximum uone kama utaishi. Hapo kwenye swali lako la ni chakula unachokula ama ?Unabaki yule yule tokea siku ulipokuwa conceived. Ina unakua na kuna kipindi kama kafanikiwa kufika uzeeni kunakuwa hakuna cell regeneration ya kasi ukilinganisha na ulipokuwa mtoto.Wewe uliyekuwa unamwaka mmoja na kilo mbili na wewe wa leo mwenye kilo sitini au zaid nan ni halisi?
Kama wewe ni mwili unamaanisha wewe ni chakula unachokula au?
Vipi kuhusu baada ya miaka saba kila seli ya mwili wako huwa mpya tofauti na miaka saba iliyopita
je unabaki yule yule au unakuwa mwingine kila baada ya miaka kadhaa?
Infact ni kwamba wanasayansi kuamini miujiza haini sababishii na mimi niamini hivyo hivyo.Wanaayansi wote walioleta mageuzi duniani waliamini katika miujiza...
Iwe Newton na alchemy, pythagoras na unajimu hata Einstein in short esoteric knowlegde haikwepeki.
Mwezi mmoja kote huko?Acha kula wala kunywa kwa mwezi mmoja maximum uone kama utaishi. Hapo kwenye swali lako la ni chakula unachokula ama ?Unabaki yule yule tokea siku ulipokuwa conceived. Ina unakua na kuna kipindi kama kafanikiwa kufika uzeeni kunakuwa hakuna cell regeneration ya kasi ukilinganisha na ulipokuwa mtoto.
Umesema wewe ni mwili, mwili ni chakula unachokula protein, vitamin, carbohydrate weweAcha kula wala kunywa kwa mwezi mmoja maximum uone kama utaishi. Hapo kwenye swali lako la ni chakula unachokula ama ?Unabaki yule yule tokea siku ulipokuwa conceived. Ina unakua na kuna kipindi kama kafanikiwa kufika uzeeni kunakuwa hakuna cell regeneration ya kasi ukilinganisha na ulipokuwa mtoto.
Tuwekane sawa kwanza..Infact ni kwamba wanasayansi kuamini miujiza haini sababishii na mimi niamini hivyo hivyo.
Kupitia historia tunajua kuna idadi kubwa ya wanasayansi walioamini vitu vingi vya uwongo.
Wapo wanasayansi waliowahi kuamini kwamba yale matuta ya kichwani huashiria tabia ya mtu na kwamba wapo walio amini kua harufu mbaya inasababisha ugonjwa wa kipindupindu.
Hizo ni statistics ambazo zimeonesha wanasayansi waliokua wanaamini vitu ambavyo kwa wakati huo walijua ni ukweli.
Kwa hiyo utagundua mtu kuwa mwana sayansi haimfanyi awe karibu na ukweli katika kila kitu.
Kila kitu kinafanywika kwa mipaka, hiyo ikimaanisha kwamba kwa namna einsten alivyokua mtaalamu kwenye physics haina maana mawazo yake kuhusiana na dini au siasa yakubalike eti kwakua yeye ni bingwa wa relative kwenye physics.
Gwajima anaweza kuwa bora kwenye mahubiri ya kanisani na mimi nikapenda, lakini haina maana nikubaliane naye kwenye mtazamo wake wa kuhusiana na corona
Ukweli kuhusu nini?Tuwekane sawa kwanza..
Ukweli kwako wewe nini?
Na sayansi mawanda yake ni yapi(scope).
Ukweli ulioongelea kwenye comment yako.Ukweli kuhusu nini?
Hakuna wote tunageuka mbolea hapahapa duniani ili tutumike na vile viumbe tunavyoviacha nyuma vikiendelea na maisha wakati tukifa.Sema mbinguni kutakuwa na sehemu kubwa sana ya kuhifadhi vitu vyote vinavyokufa huku duniani mf, watu, miti, ng'ombe, sisimizi, nyoka, mwewe nk.
Yapo tena ya umilele ndugu. Ila ukitaka kuipenda dunia na mambo yake utaishia sema hayapo. Believe me tengeneza na Mungu kabla hujafa.Habari wanazengo,
Leo ningependa kufahamu au kujua kile unachoamini wewe kama wewe tulivyoumbwa kila mmoja amepewa utashi ukiwa na lengo la kupambanua mambo, tuachane kwanza na hizi imani ambazo tunazoamini au kuaminishwa.
Hivi ulishawahi kujiuliza baada ya kufa nini kinaendelea, kuna maisha baada ya kufa au ndiyo ukifa umekufa mazima!
Kwa maelezo yako kitu kuto kuthibitishwa na sayansi ni uongo ama sijakuelewa?Ukweli kuhusu nini?
ukifa umekufa mazima!
Kwamba?Ukweli ulioongelea kwenye comment yako.
Umesema wanasayansi waliamini baadhi ya mambo kuwa ni kweli na ikaja baanika sio kweli..Kwamba?
Hujaelewa soma tenaKwa maelezo yako kitu kuto kuthibitishwa na sayansi ni uongo ama sijakuelewa?
Huo unaosema waliamini wanasayansi kuwa ukweli kumbe ni uongo,Hujaelewa soma tena
Kwangu mimi naona njia bora ya kujua ukweli ni kupatiwa uthibitisho wa ku-support hayo madai na kujua ni kivipi uthibitisho wa hicho kitu umepatikana.Umesema wanasayansi waliamini baadhi ya mambo kuwa ni kweli na ikaja baanika sio kweli..
Ni kipimo kipi kinatumika kupima ukweli na uongo?
Kama ni sayansi ni nin mawanda(scope) ya sayansi?
Personal experience ndiyo chanzo cha majibu potofu, watu wa zamani asubuhi walivyokua wanaliona jua likichomoza mashariki na jioni kuzamia magharibi hawakuhitaji kufanya research wala kujisumbua na ndio maana wakaamini jua linatembeaHuo unaosema waliamini wanasayansi kuwa ukweli kumbe ni uongo,
Ni kipimo gani kilithibitisha uongo na ukweli?