JaxenDL
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 221
- 495
Kuvunja ahadi ya kuoa au kuolewa ni kosa linaloweza kuchukuliwa hatua chini ya kifungu cha 69 na 70 cha Sheria ya Ndoa (Sura ya 29 R.E 2019). Ikiwa mlalamikaji atathibitisha kuwa aliyekiuka ahadi alikuwa na umri wa miaka 18 au zaidi wakati alipoweka ahadi hiyo.