Mbona mimi nimeishia la7 na nina enjoy Jf?Sio kweli lakini wengi wamesoma, sio rahisi kumkuta mtu amefika lasaba anaendelea kuifurahia jamii forum, bila ya kua na elimu utaikimbia mwenyewe hii forum
Una degree ya ukorofi [emoji87] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mbona mimi nimeishia la7 na nina enjoy Jf?
Omba nisikukamate[emoji35]Una degree ya ukorofi [emoji87] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Omba nisikukamate[emoji35]
Mbona mimi nimeishia la7 na nina enjoy Jf?
Eri yako Mimi nipo Drs LA SITA kwa Sssi kweli kuwa wote tuna degree.Mimi nimeishia darasa la saba.
Mie nina certificate[emoji173]Shalom wakuu!
Swali hili limekuwa likinitatiza sana tangu miaka 2 iliyopita tangu nilipojiunga na JF,
Imekuwa ni kama fashion kwa wanaJF wengi kudeclare elimu zao katika post zao nyingi, ajabu kila mtu anasema sijui alipokuwa chuo mwaka wa pili, mwingine ooh nimejiajiri lakini nina degree yangu, hivi ni kweli wote tumesoma mpaka level hizo?
Hakuna hata mwenye diploma au Form4 kabisa?
Mbaya zaidi hadi vijana wa BRN wa humu JF naona wameanza taratibu kurithi haka karoho ka kipepo kanakotokana na kutojikubali.
Tubadilike jamani.
Ushakua mkongwe wa Jf xxMbona mie nimehitimu darasa la saba na nimo humu JF karibia miaka 9 sasa!
Shalom ndio nini, eff outta here...Shalom wakuu!