Hivi ni kweli kuwa kila Mwana JamiiForums ana degree?

Hivi ni kweli kuwa kila Mwana JamiiForums ana degree?

Sio kweli lakini wengi wamesoma, sio rahisi kumkuta mtu amefika lasaba anaendelea kuifurahia jamii forum, bila ya kua na elimu utaikimbia mwenyewe hii forum
Mbona mimi nimeishia la7 na nina enjoy Jf?
 
Mbona mimi nimeishia la7 na nina enjoy Jf?

inawezekana wakawemo, ila sio wengi miongoni mwao. Nikipiga story na walioniacha kidatu wakenda kwenye maisha, basi most of them nkiwatajia neno jf hawaelewi. Ila wale walioendelea wengi ukiwatajia tu wanajuaijapokua sio member
 
Mimi nimeishia kidato cha pili niliacha baada ya kuniambia someni ili muwe na maisha mazuri wakati yeye mwenyewe ni tofauti...sasa hivi ndiyo nimeanza QT ili nipate japo ukuu wa wilaya maana nimesikia jamaa anateua wasomi tu.
 
Shalom wakuu!
Swali hili limekuwa likinitatiza sana tangu miaka 2 iliyopita tangu nilipojiunga na JF,

Imekuwa ni kama fashion kwa wanaJF wengi kudeclare elimu zao katika post zao nyingi, ajabu kila mtu anasema sijui alipokuwa chuo mwaka wa pili, mwingine ooh nimejiajiri lakini nina degree yangu, hivi ni kweli wote tumesoma mpaka level hizo?

Hakuna hata mwenye diploma au Form4 kabisa?

Mbaya zaidi hadi vijana wa BRN wa humu JF naona wameanza taratibu kurithi haka karoho ka kipepo kanakotokana na kutojikubali.

Tubadilike jamani.
Mie nina certificate[emoji173]
 
Ukwelii n kwmbaa wanaa JF ndyoo tunaa degree lakn hii yaa kwtu ni unique jaman....n shdaaa
 
Hizo zote mbwembwe,.,.,.,., maisha upande wako unaenda sawia ipasavyo,. Kama upo kwenye kundi la wale wasiopata lishe na umegraduate la 7, f4, f6, degree, phd.. ndgu yangu choma vyeti
 
Back
Top Bottom